Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Nasikia marehem alimsomesha pia Swalha bibie akamsaliti akaenda kuolewa na mwingine huko ndoa ikamshinda akaanza kujirudisha kwa jamaa kwa kumuambia ananyanyaswa ndipo jamaa kumwambia achika huko nitakuoa mimi pamoja ulinisaliti kweli wakaoana mwisho bibie akarudi tena kwa ex wake wa mwanzo ambaye ndiye aliyekuwa nae kwenye mpira huku mumewe kamuacha nyumbani,Ndipo wambea wakampigia simu kwamba mkeo yuko huku na ex wake.
Alirogwa siyo bure
 
Nadhani alikuwa ana fosi upendo kitendo cha kusomesha kisha bibie akusaliti akaolewe na mwingine then apigike huko tena amrudie kwa hakika huyo marehem alipenda kwa dhati bahati mbaya mahali alipo penda Sipo.
alikuwa fala wa mapenzi
 
Oswayo namfahamu vizuri Sana ana wake 4 na huyo mwanamke alikufa hakua mwanamke ila alikua KAHABA .Jamaa alivomuoa alimpa miladi ili ambdilishe aache ukahaba matokeo yake yamekua kifo.
kunguru hafugiki
 
Huyu maza alitakiwa nae ale shaba ya mguu 😀😀😀😀
Anapigiwa simu mtt wake eti anapokea yeye anajibu amechoka kalala 😳😳😳
mama huyu namfananisha na mama yake wema sepenga kiitikadi😄😄😄 yani anaonekana alikuwa mnufaika nambari moja wa shughuli za kijasusi anazoendesha binti yake na ndio maana utaona binti yake ni kama alikuwa malaika katika kila maelezo anayotoa anapaka icing sugar😄!
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana. Mimi wa kwangu nilivyoona ananiletea vitimbwi vya kutoka jioni saa moja anarudi usiku saa tano Anakuta nimeshapikia watoto na kuwalisha na yeye anachukua chakula nilichopika anakula nikajua hapa tunapoelekea kutakuwa pabaya zaidi

Nikamuambia nimebadilishwa kituo changu cha kazi
Akaniuliza wapi? Nikamuambia sijajua nitakuambia nikishafika
Nikaweka nguo kwenye begi nikatupia kwenye gari yangu nikaondoka nikanunua simu ya nikamuelekeza mtoto wangu mkubwa akachukue kwenye duka flani hivi Ili niwe natuma pesa hapo via Airtel money
Mpaka Leo hii hapa
Nilim-block sikutaka hata kusikia sauti yake nikaenda nikapanga nyumba nikaanza maisha mapya
Nikawaelekeza watoto home wanakuja Kila week end wanakaa nawapeleka out wanafurahi jumatatu jumapili jioni nawarudisha shuleni
Ndio imeisha hivyo
Usiongeze tatizo juu ya tatizo. Wana laana hawa watu. Ametoka kwao masikini wa kutupwa amejimilikisha mjengo kirahisi kabisa. Na ndio wanavyofanya siku hizi akishaona mafanikio
Ulifanya uamuzi wa busara sana mkuu. Very diplomatic decision kujiweka kando tu.
 
Missed call 42 si mchezo.....sijui kwa nini huyo manzi hakupokea, wadada punguzeni dharau kwa waume au wapenzi wenu.....na masela punguzeni jazba kwenye mapenzi. Huyo jamaa pamoja na kuwa na mkwanja mrefu alishindwa kabisa kummudu huyo demu kisaikolojia hata kwa kutoka na mbebez mwingine matata......
Atapokeaje wakati zinaita akiwa yupo juu ya kiuno cha mwanaume ampendaye😄 akiwa anapigwa manyama nje...manyama ndani huku anaugulia utamu njoo utamu kolea?

Usicheze na penzi mzee, pesa itafanya vyote ila haiwezi kumfanya mtu asiekuwa na hisia na wewe akupende hata umjengee kiwanda kama cha bakhresa!
 
Habari za ndani kabisa zinasema:

1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa

2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID

3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.

4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.

5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake.

CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG

Pia soma >
Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI
Wee umeskia wapi au chanzo kimepatikanaje wakati mtuhumiwa bado anasakwa na marehem alishakufa..kibongo bongo kila mtu ni msemaji
 
Kama unatumia pesa ili kumpata mwanamke, wewe ni mwanaume mjinga sana.

Sijasema usihonge.

Marehemu Said ni mmojawapo ya hao, ndio maana kafa kipopoma.
Hii mbinu huwa haileti matokeo chanya. Pesa itakusogezea malaya lukuki ila usitegemee kupata mwanamke wa kudumu kwa kumrubuni na pesa.

For disposable relations tumia pesa kupata utakacho ila for serious relationships tumia akili tu na utashi wako kushawishi mwanamke aelewe tu kuwa nini una maanisha pasipo kuegamia kweye intimidation ya pesa.
 
Wanaume wa kanda ya ziwa na misimamo yao VS Wanawake wa Singida na drama zao!
Lazima pangechimbika haya makabila huwezi kuwaweka pamoja km mke na mume
Singida inaingiaje hapo Kwa Warangi na Ngisha!?
 
Kama unatumia pesa ili kumpata mwanamke, wewe ni mwanaume mjinga sana.

Sijasema usihonge.

Marehemu Said ni mmojawapo ya hao, ndio maana kafa kipopoma.
Rekebisha maneno,kama unatumia pesa kumpata mwanamke wa kuoa,ila kupiga tu haina noma
 
Wanawake ni watu wa ajabu sana. Mimi wa kwangu nilivyoona ananiletea vitimbwi vya kutoka jioni saa moja anarudi usiku saa tano Anakuta nimeshapikia watoto na kuwalisha na yeye anachukua chakula nilichopika anakula nikajua hapa tunapoelekea kutakuwa pabaya zaidi

Nikamuambia nimebadilishwa kituo changu cha kazi
Akaniuliza wapi? Nikamuambia sijajua nitakuambia nikishafika
Nikaweka nguo kwenye begi nikatupia kwenye gari yangu nikaondoka nikanunua simu ya nikamuelekeza mtoto wangu mkubwa akachukue kwenye duka flani hivi Ili niwe natuma pesa hapo via Airtel money
Mpaka Leo hii hapa
Nilim-block sikutaka hata kusikia sauti yake nikaenda nikapanga nyumba nikaanza maisha mapya
Nikawaelekeza watoto home wanakuja Kila week end wanakaa nawapeleka out wanafurahi jumatatu jumapili jioni nawarudisha shuleni
Ndio imeisha hivyo
Usiongeze tatizo juu ya tatizo. Wana laana hawa watu. Ametoka kwao masikini wa kutupwa amejimilikisha mjengo kirahisi kabisa. Na ndio wanavyofanya siku hizi akishaona mafanikio
Hapo umempa faida yeye maana lengo lake ni wewe umwache hilo kafanikiwa. Shida ya jamiiforum kila mtu ana gari isipokuwa mm tu ebu onyesha kadi ya hilo gari unalosema
 
Back
Top Bottom