Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Majibu ya nyanda za juu kusini huwa nchi inasimama kwa muda.
[emoji23] Nikweli, hao si ndio waliomsambaratisha Zelwisky Kiongozi wa jeshi la kijerumani kazi nzuri ikifanyiwa na Babu Yao Mkwawa, mpaka dunia ikasimama!
 
Nikuulize wewe unaefurahisha genge, nina Marker4 na Shotgun niliyorithishwa na mzee wangu kihalali kabisa na pia nina Beretta Pxs niliyoinunua kwa pesa yangu pale Tanganyika arms. Na vyote vipo kihalali hadi hati safi ninayo.
Nimekuuliza unafahamu taratibu za kumiliki silaha kisheria?

Na hakuna urithi katika silaha inaonekana huna unachokielewa, mmiliki wa silaha anapofariki silaha inapaswa kupelekwa Polisi kuhifadhiwa Amar mpaka mnunuzi au muomba maombi ya kuimiliki atakapopata fire Army licence na kupeleka kitabu cha CAR kituo cha Polisi kwenye Amar ndio unakabidhiwa hiyo silaha, ni nani alikudanganya silaha ya moto ni sehemu ya mali za urithi?
 
Ngoja nipambane kurudisha hii, nikatafute iliyobora zaidi.
Kama ni kweli unamiliki silaha elewa kwamba silaha hazibadirishwi kama chupi au simu za Iphone kila toleo ikitoka unanunuwa tu na kuweka line na kuitumia, haiko hivyo msidanganyane na kupotosha watu.

Ukinunuwa silaha mpya unaanza mchakato upya kuanzia Serikali ya mtaa, kata, signature ya Ocd, kikao cha kamati ya ulinzi na usalama cha wilaya, cha mkoa then HQ CAR.

Kwa muda mfupi zaidi huu ni mchakato si chini ya mwaka mmoja, sasa wewe nenda kanunuwe silaha mpya itaendelea kukaa hapo Tanganyika Arms au Mzinga JWTZ upanga mpaka utimize huo mchakato uende na kitabu na risiti yako ndio unapewa hiyo silaha.

Silaha siyo Samsung Note 10 au Iphone pro max, maana naona mnadanganyana tu hapa.

Kuna waliofanikiwa kupata license kwa njia za rushwa na kukata short cut ni kipindi hicho sasa hivi hakuna hicho kitu utafuata procedure nilizokueleza hapo.
 
Ha haaaaaaa haaaa!umesahau kichwa hichohicho kinakaa na nywele miezi miwili bila kutiwa maji,wanaogopa kuharibu nywele za plastic....Najishukuru kukubali kunyoa nywele zangu..
Nadhani sasa umenielewa, na ni lazima utakuwa na utimamu wa akili.

Binadamu akiamka asubuhi anapooga huwa anapata nguvu mpya na akili inatulia, na kuoga maana yake kichwa kipate maji ndio maana kuna shower hata kopo la kuogea haijarishi lakini kichwa kikipata maji asubuhi ni tiba ya mwili hata watumiaji pombe asubuhi tiba ya kwanza ni kuoga, sasa imagine inatokea binadamu kichwa chake hakigusi maji zaidi ya kunawa uso na kuoga kiwiliwili huyu usimtalajie kuwa timamu anaweza kumdharau aliyemnunulia gari na kumthamini aliyemuwekea mafuta ya laki moja kwenye hiyo gari.
 
Daah nimekusoma Vyema Sana,,,kweli vyanzo vya matatizo ya afya za akili ni mengi mno.
 
Unaenda kuoa sijui Mnyiramba, Mnyaturu au Mrangi lazima utakuwa mwehu. Kuna siku nilikuwa na dada wa kirangi Dodoma nikaenda nae sokoni. Kuna mzee mmoja nae ni Mrangi akaniita na kuniambia huyo ndio mkeo nikajibu ndio. Akasema kijana achana na mwanamke wa Kirangi. Kumbuka huyo mzee ni mrangi nae.
Ila kweli Wambulu, Wanyaturu na Warangi hapana aisee
 
Nikuulize wewe unaefurahisha genge, nina Marker4 na Shotgun niliyorithishwa na mzee wangu kihalali kabisa na pia nina Beretta Pxs niliyoinunua kwa pesa yangu pale Tanganyika arms. Na vyote vipo kihalali hadi hati safi ninayo.
Usije kuulia mtu makusudi hayo mavitu yenu mnayomiliki.

Maana huwa mnajiona miungu watu mkiwa nayo makitu
 
Habari za ndani kabisa zinasema:

1. Marehemu kabla ya kuolewa na SAID alikuwa ameolewa na jamaa maeneo ya Kirumba Mwanza kisha wakaachana. Sababu ya kuachana inasemekana ni ex mume wake kutokuwa na pesa

2. Marehemu akaolewa na SAID na inasemekana alifuata pesa kwa SAID

3. Said alimjengea marehemu nyumba tatu na gari 2 plus kumfungulia biashara ya saluni.

4. Baada ya kupata mali marehemu akaanza vituko kwa Said kwa sababu inasemekana hakuwa akimpenda kwa dhati Said na kwamba kwa Said alifuata hela tu, so akawa anafanya vituko ili Said atoe talaka ili marehemu arudiane na ex wake but Said akawa anagoma kutoa talaka licha ya vituko.

5. Siku ya tukio kama mlivyo sikia wengi kulikuwa na : missed call 42, marehemu inasemekana alipotoka out alikuwa na ex husband wake.

CHANZO: AFRICANDADAZ BLOG

Pia soma >
Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI
Funzo Kwa akina Dada wenye tamaa mpende MTU kutoka Moyoni na siyo utajiri Wala pesa ukifuata pesa yatakukuta Kama haya
 
Mnazusha tu ila ukweli ni kwamba Marehemu Saidi hakupendwa na Marehemu Swalha.

Swalha alipenda pesa zake na saidi alipenda kiki ya kuoa pisi kali. Inshort hakukua na ndoa serious pale
Post yako na mleta uzi mbona zinafanana tu?
 
Back
Top Bottom