Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Inasemekana ndiye aliyemsomesha akaolewa na mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana ndiye aliyemsomesha akaolewa na mwingine
AminaIla na Nyie wabishi kha!Mungu awatunze
Hilo gumu sana kuimplement, maana hata ngazi ya familia anapendwa mwenye pesa, hata washkaji kitaa nao ukiyumba financial awashow love kiviiilee.Funzo Kwa akina Dada wenye tamaa mpende MTU kutoka Moyoni na siyo utajiri Wala pesa ukifuata pesa yatakukuta Kama haya
Unamjua ke wa Kinyiramba wewe?Kwahiyo Said na pesa zake zote alishindwa kumgegeda na hamfikishi Salha kileleni
Wanyiramba kuhusu hilo ni wachafu kuliko.Nina rafiki yangu mnyiramba kwanza wao kwa wao kugongeana wake ni kitu cha kawaida kabisa so wala hata kukuunganishia mke wa mtu kwao kawaida sana
Kuwa makini na hawa wanawake wa kidijitali, unakuta katika malezi yao hawajawahi kufinywa na wazazi akija kwako ndio unamshushia kipigo.Daaaah yaani kapiga simu analia kwa sauti kama kafiwa wakati kipigo kiliisha mda mtu.kweli tuishi nao kwa akili.naomba Mungu nifike kama wewe.
Yale ni maamuzi ya kipumbavu,unaua adui yako halafu na wewe unajiua inakuwa haina mana! Kiuhalisia adui anakuwa kashinda!Jamii forum FBI.
Said ameacha 'legacy' ya mwanaume kuwa na maamuzi magumu.
'We cry together.'
Umeongea vyema mamaaa,huwezi weka hao watu pamoja hata siku moja, mm niliwahi jaribu ishi na mnyiramva fulani kweli ilikuwa ligi, kila siku lazima kupiga na hasikii,Wanaume wa kanda ya ziwa na misimamo yao VS Wanawake wa Singida na drama zao!
Lazima pangechimbika haya makabila huwezi kuwaweka pamoja kama mke na mume.
Hiii ndo Best comment katikaa huu uzi, maji ni zaidi ya dunia, mali za huko hazipatikan kizembe, Kafara ni muhimNachofahamu wavuvi haswa matajiri wanaomiliki mitumbwi ya dagaa Au sangara kwanzia 20 na kuendelea wanakuaga hatari sana hawa jamaa, wanakuaga na ukatili fulani ivi hata wanavyoendesha shughuli zao za uvuvi.
Hii inasababishwa sana na aina hiyo ya biashara wanayoifanya ukiwa legelege ndani ya mwezi mmoja tu unageuka masikini, wengi huwa ni wakorofi na kambi zao zinaogopeka hii huwasaidia kuepuka wizi wa fedha na Mali zao
Pia wanapenda sana maswala ya waganga, mganga anaweza kusikilizwa kuliko mke
Post yako na mleta uzi mbona zinafanana tu?
Hao ndugu zake Tundu Lisu. wanawezana wenyeweUnamjua ke wa Kinyiramba wewe?
Haha Wema mbona akitulizwa huwa anatulia?Ni sawa na ukamuoe wema sepenga Sasa hv halafu utegemee amani kwenye ndoa yako
Kosa hilo,ni kiswahili cha Tanzania bara,wanaona wakisema swalama,swala,Swalha sijui ndio kiarabu au kiswahili bora,hata sijui kwanini wanafanya hivyo..Mbona Kuna neno nasikiaga wazee walioshika dini wakijibu "Swalamaaa"badala ya salama?ndio maana swalha badala ya Salha
Mnyiramba na Mnyaturu wala hawana undugu wala maelewano.Hao ndugu zake Tundu Lisu. wanawezana wenyewe
Wamasai,Wagogo,Wangoni,Watangi nao wanakeketwa..Ndo mana wanawake wa singida wanakeketwa kumbe wazee waliona mbali sana kwa mabinti zao
KumbeMnyiramba na Mnyaturu wala hawana undugu wala maelewano.
Swalha ni kiswahili zaidi ni king'ambu zaidi,ni kishamba zaidiUsahihi ni SWALHA, SALHA ni kiswahili zaidi
صلحSwalha ni kiswahili zaidi ni king'ambu zaidi,ni kishamba zaidi
Jina ni Salha,neno la kiarabu lenye maana ya mwenye malezi bora..au mwenye tabia bora
Ukimwita Salha,Swalha labda jina nitakuwa na maana ya mwenye kuachia zaidi