Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

Funzo Kwa akina Dada wenye tamaa mpende MTU kutoka Moyoni na siyo utajiri Wala pesa ukifuata pesa yatakukuta Kama haya
Hilo gumu sana kuimplement, maana hata ngazi ya familia anapendwa mwenye pesa, hata washkaji kitaa nao ukiyumba financial awashow love kiviiilee.

Wanawake acha waendelee kupenda pesa lakini wajifunze heshima na utii kwa waume zao huwezi kusikia bastola hata siku moja.
 

Attachments

  • FB_IMG_1654092534149.jpg
    FB_IMG_1654092534149.jpg
    23.3 KB · Views: 21
Nina rafiki yangu mnyiramba kwanza wao kwa wao kugongeana wake ni kitu cha kawaida kabisa so wala hata kukuunganishia mke wa mtu kwao kawaida sana
Wanyiramba kuhusu hilo ni wachafu kuliko.
Wanatabia ya kuitana dada..kaka ogopa sana.
 
Daaaah yaani kapiga simu analia kwa sauti kama kafiwa wakati kipigo kiliisha mda mtu.kweli tuishi nao kwa akili.naomba Mungu nifike kama wewe.
Kuwa makini na hawa wanawake wa kidijitali, unakuta katika malezi yao hawajawahi kufinywa na wazazi akija kwako ndio unamshushia kipigo.

Hapo usipokuwa makini ndoa inavunjika, cha msingi fanya uwezalo atambue nafasi yako wewe kama baba wa familia.
 
Jamii forum FBI.

Said ameacha 'legacy' ya mwanaume kuwa na maamuzi magumu.

'We cry together.'
Yale ni maamuzi ya kipumbavu,unaua adui yako halafu na wewe unajiua inakuwa haina mana! Kiuhalisia adui anakuwa kashinda!
 
Wanaume wa kanda ya ziwa na misimamo yao VS Wanawake wa Singida na drama zao!
Lazima pangechimbika haya makabila huwezi kuwaweka pamoja kama mke na mume.
Umeongea vyema mamaaa,huwezi weka hao watu pamoja hata siku moja, mm niliwahi jaribu ishi na mnyiramva fulani kweli ilikuwa ligi, kila siku lazima kupiga na hasikii,
Mara ya mwisho niliona nintaua Nika beba vilivyo nihusu nakuondoka aliendelea na drama zake siku hz Hana soko Tena hata vichaa hawamtaki
 
Achen uongo. Watu wameoana January, Wana miezi mitano tu kama sio minne, tangu waoane, hizo nyumba tatu zimejengwa lini. Jamaa mwenyewe wala alikuwa hana biashara ya kutisha zaid ya kumiliki mtumbwi na wavuvi wawili na nyavu.

Na yule alikuwa ni mke wa nne wa jamaa. As January hiyo hiyo ametoka kuachana na mke wa tatu.

Ukweli ni kuwa Jamaa alikuwa hawezi kuishi na mwanamke. Wivu ulipitiliza
 
Nachofahamu wavuvi haswa matajiri wanaomiliki mitumbwi ya dagaa Au sangara kwanzia 20 na kuendelea wanakuaga hatari sana hawa jamaa, wanakuaga na ukatili fulani ivi hata wanavyoendesha shughuli zao za uvuvi.

Hii inasababishwa sana na aina hiyo ya biashara wanayoifanya ukiwa legelege ndani ya mwezi mmoja tu unageuka masikini, wengi huwa ni wakorofi na kambi zao zinaogopeka hii huwasaidia kuepuka wizi wa fedha na Mali zao

Pia wanapenda sana maswala ya waganga, mganga anaweza kusikilizwa kuliko mke
Hiii ndo Best comment katikaa huu uzi, maji ni zaidi ya dunia, mali za huko hazipatikan kizembe, Kafara ni muhim
 
Mbona Kuna neno nasikiaga wazee walioshika dini wakijibu "Swalamaaa"badala ya salama?ndio maana swalha badala ya Salha
Kosa hilo,ni kiswahili cha Tanzania bara,wanaona wakisema swalama,swala,Swalha sijui ndio kiarabu au kiswahili bora,hata sijui kwanini wanafanya hivyo..

Labda kuna ugonjwa wa kujua Herufi kama wale wanaochanganya R na L..

Kila jina la kiarabu lina maana yake,Waisilam wengi wanatumia majina ya kiarabu

Sasa kama Salha ataitwa Swalha itakuwa imeshabadili maana ya jina
 
Usahihi ni SWALHA, SALHA ni kiswahili zaidi
Swalha ni kiswahili zaidi ni king'ambu zaidi,ni kishamba zaidi

Jina ni Salha,neno la kiarabu lenye maana ya mwenye malezi bora..au mwenye tabia bora

Ukimwita Salha,Swalha labda jina nitakuwa na maana ya mwenye kuachia zaidi
 
Swalha ni kiswahili zaidi ni king'ambu zaidi,ni kishamba zaidi

Jina ni Salha,neno la kiarabu lenye maana ya mwenye malezi bora..au mwenye tabia bora

Ukimwita Salha,Swalha labda jina nitakuwa na maana ya mwenye kuachia zaidi
صلح
To be righteous
To be good
To be perfect condition
To be honest
To be upright
 
Back
Top Bottom