Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Na huyu Mwigulu Nchemba ndiyo tatizo kubwa kwa maneno na matendo yake hata kupigwa risasi kwa Tundu Lissu Mwigulu Nchemba anahusika 96%.
 
What if the assailants waliompoteza bensaa8 ndio hiyohiyo hit squad iliyompiga chuma lisu?.. Kuna watu wanaujua ukweli kuhusiana na hii tukio. Na wapo kimya labda kulinda status za high profile figures Walioko in power Sasa hivi . Ulianza kuchora pattern kuunganisha matukio kadhaa kama ifuatavyo; sabaya chronicles+bashite et Al +kupotezwa kwa Ben+lisu murder attempt +mwangosi+Dr ulimboka et Al.... na kashfa ya ugaidi dhidi ya mbowe huenda one day in our lifetime tutajua ukweli au la kizazi chetu kitakuja kuujua ukweli...kwa wataalamu wa historia nani angewahi dhania Richard Nixon na kashfa yake ya Watergate scandal ingetolea madudu mengi na machafu jinsi ya watawala wanatumia vyombo vya usalama kwa maslahi Yao binafsi na vilevile kuvitumia kulipiza visasi vyao binafsi dhidi ya maadui zao pasipo kufuata taratibu za kisheria in the name of MASLAHI YA TAIFA KIUSALAMA? . inavyodaiwa kwamba Ben alihoji ithibati ya high profile figure , sidhani kama alistahili alichokipata kama adhabu. What if angeonywa hata kwa kum exile au hata kumpa kifungo hata Cha muda ndani. Kwa hiyo it means lisu , Ben,azore walikuwa wanahatarisha usalama wa nchi kivip?[emoji848].
 
Toka ishu ya Ben Saanane , Jiwe akaanza kukosa kujiamini. Akawa kama kachanganyikiwa hivi. Mwishowe akaishia kupiga kelele kama kichaa "Nileteeeeeni Gwajimaaaaa".

Uuaji siyo kitu kidogo, lazima uchizike!
 
Ben saa 8 alitumika,na alipata alichostahili,
 
Umeandika upuuzi
 
Toka ishu ya Ben Saanane , Jiwe akaanza kukosa kujiamini. Akawa kama kachanganyikiwa hivi. Mwishowe akaishia kupiga kelele kama kichaa "Nileteeeeeni Gwajimaaaaa".

Uaji siyo kitu kidogo, lazima uchizike!
Ile clip niliicheki ,nikaicheki na kuicheki sana alipokuwa anatamka hayo maneno "nileteeni gwajima...."Kuna vitu vilinitafakarisha sana... maana Hadi msaidizi wake wa pembeni alibabaika Fulani hivi wakati hayo maneno yakitamkwa[emoji848] . Icheki Tena vizuri utakubaliana nami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…