Vita ya chatu na king Cobra wote wanakufa.Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Anaunda skandal boss...Kaka the boss hapo sijaelewa kidogo hasa anaposema "alivyorudi katoa machine haijarudi"... naomba unieleweshe.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kick inatafutwa mkuu, alianza kutaka kumpindua Mwenyekiti wake akamshtukia akamfukuza mara kapotea,dah!!!Mambo mengine ni ya kujitakia, sasa yeye alikuwa anahiji PhD ya bwana mkubwa ili iweje?
Hakika 100%! Kwanza Ben lugha aliyokuwa akiitumia ilikuwa ya kidhalilishaji, na mbovu sana. Hakuwa na adabu kwa mtu mwenye rika la kumzaa, kama haitoshi Rais wa nchi.Nyie mnaona nchi imetulia kama maji ya mtungi mnafikiri imetulia hivi hivi....!
Kuna watu hawalali kwa ajili ya kulinda amani ya Nchi na watu wake.
Tuheshimu Amani tulionayo kuliko kujiingiza kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Nilipewa stori kuwa mwamba mwenyewe alichomoa chuma akamuwasha kisha akaagiza mwili ukatupweKwa bahati mbaya kivipi mkuu[emoji848] yaani yeye mwenyewe kwa mikono yake!!? Au bwana mkubwa yupi huyo unaemzungumzia!!?
Ok.Hayo yote yatathibitika kwenye uchunguzi!
Jiwe alimdhulumu kijana wa watu uhai wake
Kuhoji phd kungehatarisha vipi amanI YA TANZANIA?Nyie mnaona nchi imetulia kama maji ya mtungi mnafikiri imetulia hivi hivi....!
Kuna watu hawalali kwa ajili ya kulinda amani ya Nchi na watu wake.
Tuheshimu Amani tulionayo kuliko kujiingiza kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Yangu machoKupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Ni wajibu wa kila mtanzania kukemea uovu ngazi zote.Mambo mengine ni ya kujitakia, sasa yeye alikuwa anahiji PhD ya bwana mkubwa ili iweje?
Duh! Ile ngoma hatari! Hivyo ni kazi ya mikono yake yeye mwenyewe! Alimuudhi nini kiasi hicho!!? Na matukio kama hayo ni hilo hilo moja alilotumia mkono wake yeye mwenyewe au kuna mwingineNilipewa stori kuwa mwamba mwenyewe alichomoa chuma akamuwasha kisha akaagiza mwili ukatupwe
Machine Gani!?Hapana mm nimesikia tofauti kidogo. Aliwaambia watu wallet akiwa hai. Walivyomleta. Akapanda juu ghorofani akaenda kunywa kakitu kuweka akili sawa. Alivyorudi katoa machine haijarudi
Hida Newton alisema katumwa na Mwenyekiti Afrika kusini,vipi alirudi?
You are a very big wild dogSisi jpm tulimpa go ya hata kuua kwa sababu alikuwa mzalendo na mzalendo ana ua wahuni tu wa taifa ...sasa mtu kama msoga angeuliwa wote tunge furahi sana ....siyo kila mtu ana stailik kuishi.
Chunguzi wa nini wakati mshirika mkubwa wa Magufuli katika mauaji, Paul Makonda, akiwa uraiani na kula Bata?Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo ambayo yalitokea enzi za utawala wa awamu ya tano na hakuna aliyethubutu kuanzisha uchunguzi juu ya hilo kutokana na maelekezo maalum.
Sasa nawataarifu kuwa uchunguzi juu ya kupotea kwa kijana huyo unaendelea na ni moja ya ajenda muhimu zilizojadiliwa hapo kabla. Hivi karibuni jambo hilo litawekwa wazi.
Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli. Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
Wekeni masikio wazi siku chache zijazo mtasikia la mgambo.
Bora afukuliwe na mifupa yake uchomwe motoUkweli uwekwe wazi ili ikibainika alitoa amri ya kupotezwa Ben Rabiu Saanane bc kaburi lipigwe kufuri View attachment 2630394
Tufanye kuwa hiyo ni kweli, kwa hiyo huyo mtoa siri, akaitoa siri kwa raia kama wewe na sio kwa vyombo vya dola?Nilipewa stori kuwa mwamba mwenyewe alichomoa chuma akamuwasha kisha akaagiza mwili ukatupwe
ulitaka akaongee kwa vyombo vya dola naye apigwe chuma?Tufanye kuwa hiyo ni kweli, kwa hiyo huyo mtoa siri, akaitoa siri kwa raia kama wewe na sio kwa vyombo vya dola?
Kwa kisa gan had iwe hivyo? Kwa yale matukano yake kwenye PhD? Hivi hata km niww umetukanwa unaweza kufikia kufanya ujuha wa hivyo mkuu au wanahamisha magoli ya ufipaNilipewa stori kuwa mwamba mwenyewe alichomoa chuma akamuwasha kisha akaagiza mwili ukatupwe
Wacha uchunguzi ufanyike ili tujue kama ni halali kuua mtu kwa kuhoji PhD yakoKwa kisa gan had iwe hivyo? Kwa yale matukano yake kwenye PhD? Hivi hata km niww umetukanwa unaweza kufikia kufanya ujuha wa hivyo mkuu au wanahamisha magoli ya ufipa