Tetesi: Inadaiwa uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane unaendelea

Kupotea kwa Ben Saanane ni moja ya mambo yanayofanya viongozi wastaafu wa ngazi za juu kukwepa kabisa kuuzungumzia
na kuujadili utawala wa hayati John Magufuli.
This is not necessarily, CinC akisha staafu, hawezi kujua the clandestine opps za the current regime, umeandika as if wastaafu wanajua what happened to Ben ila wanakwepa kuzungumzia, nipe mfano hata mmoja tuu wa kiongozi yoyote kuwahi kuzungumzia au kujadili jambo lolote la mtangulizi wake au tukio lolote la wale jamaa zetu?.
Imefahamika kuwa yapo mambo kadhaa yasiyo ya utu yalifanyika huku yakiwa na baraka za hayati John Magufuli tena kwa maelekezo maalum.
tawala zote duniani zinafanya mazuri na mabaya/maovu, kama ni kweli ni yeye alihusika, then karma has already took its toll, nakuhakikishia there is no one atathubutu kuhoji hivyo hakuna uchunguzi wowote!.
Kama tukio la shambulizi la Lissu, lililo fanyika mchana kweupe, huku CCTV ikirekodi, hakuna uchunguzi, itakuwa la Ben who just vanished into the thin air?!.
P
 
Daudi mwangosi na Dr. Mvungi waliuawa wakati wa awamu ya nne.

Uchunguzi ufanyike.
Uchunguzi ulishafanyika, majibu yalishatoka na majalada ya kesi zao yalishafungwa.
 
Ukishafariki watu wanakusingizia mengi. Ila JPM siku zinavyozidi kwenda watu wanazidi kumkumbuka, hata yule chizi wa twita siku hizi anasema 'Kambale alikuwa sahihi ....'
 
Bashite alishaanza kujionyesha onyesha hadharani, lakini wewe utasababisha apotee tena kwenda kujificha mazima.
Siku ukiona kapasua kilio madhabahuni akipanua midomo pasi kubakiza hata milimita moja ndo ukae mguu sawa
 
Si alipigwa chuma na bwana mkubwa kwa baahat mbaya.(corridor za umbeya)

Naambiwa toka lile tukio mwamba hakuwah kuwa Sawa had maut yanamkuta.

Kwahiyo uchunguzi sijui utakuwa kwa ajili ya nini.
Hii habari niliisikia kutoka redio mbao FM πŸ“»
 
Mbowe kipindiki yupo na malaya wake akalewa akadondoka kwenye ngazi na kumsingizia Magufuli mbona hakukamatwa?
 
Yule Mzee aliondoa watu kikatili sana. Wachunguze na maiti zilizokutwa kwenye viroba
Hiyo ndo taarifa ya uchunguzi?

Je ikitokea Le Grand Mopao akawa na la kujibu kwenye hili mtasemaje?
 
Si alipigwa chuma na bwana mkubwa kwa baahat mbaya.(corridor za umbeya)

Naambiwa toka lile tukio mwamba hakuwah kuwa Sawa had maut yanamkuta.

Kwahiyo uchunguzi sijui utakuwa kwa ajili ya nini.
Aliyempeleka jumba jeupe yakatokea hayo ni Bashite...
Sasa huo uchunguzi utaleta shida kwenye Siriikaaliii....
Labda kama Bashite wanataka atolewe kafara tena kwa msukumo kutoka nje.. Hasa US
 
Watu wengi hudhania G.sam NDIO Mimi am 4 real
 
Mmmh! Can He be the main masterminder of Ben's murder?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kuna post ukizisoma zinakuharibia siku. Mpumbaf tuu ndio anaweza kusema hivi kuhusu Mbowe.
Yaani Mbowe amchukie hadi kumpoteza msaidizi wake aliyekuwa anambana na kumnyima raha Magufuli mitandaoni? Kwa maana hiyo Mbowe na Magufuli ni maswahiba?
Acheni utoto!
 
Hapana mm nimesikia tofauti kidogo. Aliwaambia watu wallet akiwa hai. Walivyomleta. Akapanda juu ghorofani akaenda kunywa kakitu kuweka akili sawa. Alivyorudi katoa machine haijarudi
... mnakumbuka amri ilipotoka kwa Kaisari Augusto alikuwa miongoni mwa wa mwanzo kufanya usajili wa chuma? Kumbe moyoni alijaa hila na roho kali ya mauti muuaji yule akijua fika atakalolitenda punde maana Shetani alishamjaa toka unyayoni hadi utosini!
 
Jambo lolote ukilifanya mbele ya macho ya watu wengine haliwezi kuwa siri tena.
Magufuli kama alitenda hayo basi yatajulikana wazi tuu.
Ninachoumia ni kuwa kama alifanya mambo mabaya kwa maisha ya mtu/watu halafu mpaka leo familia inakula pension ya kodi zetu sio sawa kabisa. Ilipaswa hata familia yake ijute kwa kuwa na baba asiye na utu pamoja na kupewa heshima kubwa na wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…