Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani?
Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo?
Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa tuhuma za kutenda makosa ya kimaadili.
Machi 3, 2025 Wawili hao waliripoti kwenye ofisi za TFF zilizopo Karume, Dar es Salaam kwaajili ya kusikiliza kusomewa makosa yao na hukumu.
Haya yanajiri zikiwa zimesalia siku chache tu kabla ya wawili hao kukumbwa na joto la Derby ya Kariakoo, pale wenyeji, Yanga Sc watakapochuana na Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi, Machi 8, 2025.

- Kesi ya maadili inayowakabili Ali Kamwe na Ahmedy Ally yasogezwa mbele na TFF
- Ali Kamwe apelekwa Kamati ya Maadili ya TFF, anatuhumiwa kwa uchonganishi na kuchafua taswira ya mpira
- Kamwe: Ahmed Ally anaumia na Sead Ramović kama tumempa kazi ya kumsongea Ugali
- Ally Kamwe: Tetesi za kufungiwa zilimpeleka mama yangu hospitali, alipata mshtuko