joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sababu waliotajwa ni Kolo FC, kweli kila mtu anavutia upande wake.Ni utoto tu au kuna shida nyingine inachangia? Kama utetezi wenyewe ndiyo huu, adhabu ingeongezwa na ya vikobo 12 akasimulie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu waliotajwa ni Kolo FC, kweli kila mtu anavutia upande wake.Ni utoto tu au kuna shida nyingine inachangia? Kama utetezi wenyewe ndiyo huu, adhabu ingeongezwa na ya vikobo 12 akasimulie.
Ni utoto na nadhani kunaweza pia kuwa na changamoto zingineSababu waliotajwa ni Kolo FC, kweli kila mtu anavutia upande wake.
Kweli Kolo FC ina timu ya watoto.Ni utoto na nadhani kunaweza pia kuwa na changamoto zingine
Sasa nitaamini vipi kama mtaani kwako kuna timu inaitwa Kolo FC bila kunipa ushahidi !!! Yawezakana na Ally Kamwe alikuwa hana ushahidi unaoridhisha.Sina simu yenye kamera hapa na tumia komputa jingine.
Ipo sasa hata nikupa picha ndio ushahidi huo?Sasa nitaamini vipi kama mtaani kwako kuna timu inaitwa Kolo FC bila kunipa ushahidi !!! Yawezakana na Ally Kamwe alikuwa hana ushahidi unaoridhisha.
Ni utoto tu unawasumbua. Uko mbele ya watu wenye akili zao uliowakashfu na kuwarushia tuhuma halafu badala ya kuomba radhi kwa kuteleza au kusimama kama mwanaume kwa kile unachoamini unazidi kuwakosea heshima na kuwapotezea muda kwa utetezi wa kipuuzi kama huu. Anastahili hata kupigwa vibao vya mashavu.Sasa nitaamini vipi kama mtaani kwako kuna timu inaitwa Kolo FC bila kunipa ushahidi !!! Yawezakana na Ally Kamwe alikuwa hana ushahidi unaoridhisha.
Huo utani ambao mlikua mnamuaminisha msemaji wenu ndio mmemponza nao Sasa amefungiwa, ila nyinyi sababu ni mashabiki maandazi mnaolishwa na kuvishwa hamjali kua mwenzenu amepoteza ajira yake ambayo alikua anailisha familia yake ...endeleeni tutaona pesa ya mo dewji na ya gsm ipi Ina nguvu..by the way hata hapo Manara ameongeza na uchawi wake mkali wa kule P....Okay kwani Kolo FC kwenye NBC premier league wanashika nafasi ya ngapi na uwanja wao wa nyumbani ni upi?
Mpira bila utani hauna maana na sizani hata hili jukwaa la Sports kama lingekuwepo, wanachofanya ni kujikaanga wenyewe kama nguruwe.
Bughati anachukua nafasi ya kamwe kuelekea derby,yanga walishamchoka ally kamweWakuu
Kama kweli adhabu ndio hizi una mtazamo gani?
Kuna kitu kitapungua kwenye Soka la Bongo?
Ikumbukwe, Mameneja hao wa Habari na Mawasiliano wa vilabu vya Simba Sc na Yanga Sc, Ahmed Ally na Ally Kamwe wote waliitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kwa tuhuma za kutenda makosa ya kimaadili.
Machi 3, 2025 Wawili hao waliripoti kwenye ofisi za TFF zilizopo Karume, Dar es Salaam kwaajili ya kusikiliza kusomewa makosa yao na hukumu.
Haya yanajiri zikiwa zimesalia siku chache tu kabla ya wawili hao kukumbwa na joto la Derby ya Kariakoo, pale wenyeji, Yanga Sc watakapochuana na Simba Sc katika dimba la Benjamin Mkapa siku ya Jumamosi, Machi 8, 2025.
Naona unaclude hizi tetesi wewe umehamia kwenye amefungiwa.Kwa hapo tunakubaliana pesa ndiyo iliyo tumika au unataka kusemaje?Huo utani ambao mlikua mnamuaminisha msemaji wenu ndio mmemponza nao Sasa amefungiwa, ila nyinyi sababu ni mashabiki maandazi mnaolishwa na kuvishwa hamjali kua mwenzenu amepoteza ajira yake ambayo alikua anailisha familia yake ...endeleeni tutaona pesa ya mo dewji na ya gsm ipi Ina nguvu..by the way hata hapo Manara ameongeza na uchawi wake mkali wa kule P....
Mngekuwa serious hv against ccm tu gekuwa mbali sana kama taifa.Ally Kamwe kufungiwa TFF sisi wanasimba inatuhusu nini? Hamuoni kuwa kuna mpango wa kutuzubaisha ili jumamosi watuue halaf Ally Kamwe asisimamishwe tutakuwa tumepata nn
Kamwe akiadhibiwa sisi anatuhusu nn wanasimba, Yanga mm kwangu ni adui tu sina urafiki naye
Achaneni na habari za Ally Kamwe, atajua mwenyewe na balaa lake
Kama wewe ulivo nziNdio mana Kuna dogo nadhani ngara23 nikamuuliza kwani kamwe ana umuhimu Gani yanga au na timu zote za ligi kuu pengine na nchi hii Hadi muone kitu Cha ajabu kuwaambia watu..derby ni kitu kikubwa afrika yote ,, kamwe ni sisiminzi Tu.
Nothing in the world is more dangerous than sincere ignorance and conscientious stupidityKama wewe ulivo nzi
Mkuu elewatu uchawi na uchawa vinasaidiaKwa hiyo Manara anarudi kwenye nafasi yake
Kwani adui mkubwa wa Simba ni nani?Najua ya Ahmed Ally, yeye alishtakiwa na Yanga (sio na TFF) kuwa alisema adui namba moja wa Simba ni Yanga na adui namba mbili ni Singida BS
Ndio maana ameshinda kesiKwani adui mkubwa wa Simba ni nani?
Kwamba Ally Kamwe ndo kocha!?Tff inasaka ubingwa wa Simba kwa mbinu zote