SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Nakwambiaje ukiacha kudhani unaongea na watoto wadogo utaacha pia kutoa utetezi wa namna hiyo. Utetezi wa namna hiyo unautoa pale unapodhani unadili na watu wasiostahili heshima.Mtaa mbona mtaani kwetu ipo timu Kolo FC halafu tokea lini timu za mtaani zikawa na usajili? Huku mtaani timu asubuhi inaweza itwa mbinde FC jioni inaitwa Kolo FC.
Mamlaka zote hazideal na majina ya utani wasiyo ya sajili, bali wanadeal majina waliyo ya sajili.