muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Dogo Kamwe anaropoka sana hadi anapitiliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo juu hujasoma hiyo link? Waliitwa tarehw tatu wakasogeza mbele ambayo ni kesho yakeKesi yao iliahirishwa na kusogezwa mbele, Waufukweni acha kuleta stori za vijiweni na kutoka kwa wachambuzi uchwara,nilikuwa nakukubali sana mkuu,ila ukiendelea na stori za vijiweni utaonekana wa hovyo na utapuuzwa. Badilika mkuu.
Hasa kwa timu kama uto inayobadili makocha kama mimi ninavyobadili mbogaSijui kwanini Mpira wa tanzania wasemaji wanakuwa na nguvu kuwashinda hata makocha..
Huwa nashangaa sana maana hii ni tofauti sana.
Ukiniuliza mm msemaji wa Man U ni nani hata sijui, au msemaji wa Liverpool hata simjui. Ila hapa bongo unaweza kiwa humjui kocha ila unamjua msemaji
ukimaliza hapo mlete bibi yako awe msemaji,zuzu mmoja ww!Ilitakiwa afungiwe maisha huyo kijana,adhabu haitoshi nitakata rufaa Tff
Kwasababu mpira wa bongo nguvu kubwa ya ushindi upo nje ya uwanja ndo maana tukienda kimataifa huwa hatutoboi.Sijui kwanini Mpira wa tanzania wasemaji wanakuwa na nguvu kuwashinda hata makocha..
Huwa nashangaa sana maana hii ni tofauti sana.
Ukiniuliza mm msemaji wa Man U ni nani hata sijui, au msemaji wa Liverpool hata simjui. Ila hapa bongo unaweza kiwa humjui kocha ila unamjua msemaji
Labda msemaji wako, unateseka ukiwa wapi?Ilitakiwa afungiwe maisha huyo kijana,adhabu haitoshi nitakata rufaa Tff
Nafasi ya usemaji tutampa mumeo,au unasemaje bibie?ukimaliza hapo mlete bibi yako awe msemaji,zuzu mmoja ww!
Utetezi kama huo ukiutumia kwenye mahakama ya kiraia utaeleweka sio TFF.Kwa hiyo kilicho mponza Kamwe ni hiki?
View attachment 3260907
Inamaana kwenye NBC league kuna timu inaitwa Kolo.......
Hii clip sijatuma mimi imepostiwa leo asubuhi kwenye page za Wasafi wanadai hiyo ndio sababu yenyewe. Kwani tofauti ya TFF na hizo za kiraia tofauti yake nini, au za kiraia kuna wanasheria huku kwingine kesi zinaamuliwa na wanazi.Utetezi kama huo ukiutumia kwenye mahakama ya kiraia utaeleweka sio TFF.
TFF wanajua Kolo ni nani, Utopolo, Nyuki wa Tabora, Gongo wazi,Mbumbumbu,Lambalamba..Hii clip sijatuma mimi imepostiwa leo asubuhi kwenye page za Wasafi wanadai hiyo ndio sababu yenyewe. Kwani tofauti ya TFF na hizo za kiraia tofauti yake nini, au za kiraia kuna wanasheria huku kwingine kesi zinaamuliwa na wanazi.