joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Okay kwani Kolo FC kwenye NBC premier league wanashika nafasi ya ngapi na uwanja wao wa nyumbani ni upi?TFF wanajua Kolo ni nani, Utopolo, Nyuki wa Tabora, Gongo wazi,Mbumbumbu,Lambalamba..
Mahakamani unaweza mtukana John na ukaachiwa kwasababu hati ya mashtaka imeandikwa John Magufuli.
TFF hawafanyi kazi hivyo.
Wewe tena, tukuamini tupe sababu kijanaHilo haliwezi kutokea niamini Mimi
Ajmed Ally anaongea maneno zaidi ya haya tena waziwazi na hachukuliwi hatua zozote. Alushawahi kumwambia CEO wa JKT eti hawezi kukaziwa kuchukua point 3 na JKTKwa hiyo kilicho mponza Kamwe ni hiki?
View attachment 3260907
Inamaana kwenye NBC league kuna timu inaitwa Kolo.......
Iliahilishwa wakati walisikilizwa jana kutoa ushahidi na kujitetea?Kesi yao iliahirishwa na kusogezwa mbele, Waufukweni acha kuleta stori za vijiweni na kutoka kwa wachambuzi uchwara,nilikuwa nakukubali sana mkuu,ila ukiendelea na stori za vijiweni utaonekana wa hovyo na utapuuzwa. Badilika mkuu.
leta ushahidi wa adhabu hiyo mkuu.Iliahilishwa wakati walisikilizwa jana kutoa ushahidi na kujitetea?
Unajua kusoma kweli,soma comment yangu kisha niulize tenaleta ushahidi wa adhabu hiyo mkuu.
Nawaambia humu kila siku kuwa mna utetezi wa kitoto sana. Mnadhani mnadili na watoto wadogo kumbe watu wanawaangalia tu.Kwa hiyo kilicho mponza Kamwe ni hiki?
View attachment 3260907
Inamaana kwenye NBC league kuna timu inaitwa Kolo.......
Mbona easy "Kolo FC ni timu yetu ya mtaani......".Nawaambia humu kila siku kuwa mna utetezi wa kitoto sana. Mnadhani mnadili na watoto wadogo kumbe watu wanawaangalia tu.
Sasa kujitetea kwa kuhoji kolo ni nani na wao wakimuuliza kolo ni nani atajibuje? Kumbuka hawa wasemaji walionywa waache kuwa comedians na wafanye kazi zao kwa weledi kwa hiyo kusema umejitungia tu timu na kupost vichekesho wakati yoyote mwenye akili timamu anajua unachokiongelea ni kuwakosea heshima wanaokuhoji.
Mashabiki wa Simba na yanga wengi wanaugonjwa wa akiliHivi wewe mshabiki unatolewaje kwenye mchezo!
Hizi akili zinashangaza sana. Kama vile huyo Kamwe atachezaHivi wewe mshabiki unatolewaje kwenye mchezo!
Badala ya kumsaidia huyo dogo wenu mnazidi kumpoteza kwa kumjaza maujinga.Mbona easy "Kolo FC ni timu yetu ya mtaani......".
Maana timu zote anazo zisimamia TFF zimesajiliwa na kutambulika na TFF. Sasa Kolo FC imesajiliwa wapi? Kwenye ligi inashika nafasi ya ngapi? Uwanja wake upo wapi?.
Au labda uniambie wewe Kolo FC inashika nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa ligi.
Mtaa mbona mtaani kwetu ipo timu Kolo FC halafu tokea lini timu za mtaani zikawa na usajili? Huku mtaani timu asubuhi inaweza itwa mbinde FC jioni inaitwa Kolo FC.Badala ya kumsaidia huyo dogo wenu mnazidi kumpoteza kwa kumjaza maujinga.
Atoe ushahidi ni mtaa gani hiyo timu ipo atupeleke halafu atoe ushahidi wa madai yake kuwa hiyo timu ya mtaani imependelewa mechi 10 na upuuzi mwingine alioutapika katika post hiyo.
Kumbuka unadili na mamlaka ya soka ambayo kuanzia ligi kuu hadi ligi za mchangani kote zipo kwenye mamlaka yake.
Mkiacha utoto mtaacha kuongea hovyo na kudhani mnadili na watoto wadogo wasiojielewa.
Kama Kamwe amejitetea hivi, si maajabu kashindwa kesi.Mtaa mbona mtaani kwetu ipo timu Kolo FC halafu tokea lini timu za mtaani zikawa na usajili? Huku mtaani timu asubuhi inaweza itwa mbinde FC jioni inaitwa Kolo FC.
Mamlaka zote hazideal na majina ya utani wasiyo ya sajili, bali wanadeal majina waliyo ya sajili.