Nakwambiaje ukiacha kudhani unaongea na watoto wadogo utaacha pia kutoa utetezi wa namna hiyo. Utetezi wa namna hiyo unautoa pale unapodhani unadili na watu wasiostahili heshima.Mtaa mbona mtaani kwetu ipo timu Kolo FC halafu tokea lini timu za mtaani zikawa na usajili? Huku mtaani timu asubuhi inaweza itwa mbinde FC jioni inaitwa Kolo FC.
Mamlaka zote hazideal na majina ya utani wasiyo ya sajili, bali wanadeal majina waliyo ya sajili.
Uwezi jua unaweza kuta kulijaa wanazi kuliko wanasheria, mpira wetu sometimes unamambo mengi.Kama Kamwe amejitetea hivi, si maajabu kashindwa kesi.
Mimi namshangaa huyu anadhani genius kumbe anaongea mambo ya kitoto tu.Kama Kamwe amejitetea hivi, si maajabu kashindwa kesi.
Huo ndio ukweli wenyewe, hamna club ya Kolo FC iliyo sajiliwa na TFF.Nakwambiaje ukiacha kudhani unaongea na watoto wadogo utaacha pia kutoa utetezi wa namna hiyo. Utetezi wa namna hiyo unautoa pale unapodhani unadili na watu wasiostahili heshima.
Na wewe sema mama hawezi kuongoza halafu jazia kwa upuuzi mwingine wakikudaka kajitete kwamba ulikuwa unamuongelea mama ntilie wa mtaani kwako maana mama wapo wengi.Uwezi jua unaweza kuta kulijaa wanazi kuliko wanasheria, mpira wetu sometimes unamambo mengi.
Huwezi kutumia majina ya utani ambayo hayaja sajiliwa kufanya maamuzi.
Mbona unatumia nguvu kubwa kujidhalilisha. Kama wewe ndiyo mwanasheria wa Ali Kamwe, anastahili kutokulipa maana umeonyesha ni kilaza wa kutupwa.Huo ndio ukweli wenyewe, hamna club ya Kolo FC iliyo sajiliwa na TFF.
Kama unaijua club ya Kolo FC inayo cheza ligi ya NBC nitajie je kwenye msimamo inashika nafasi ya ngapi.
Mpira hauna maana kama utani haupo, hapa tupo humu sababu ya utani bila hiyo hili jukwaa lisingekuwepo. Ila kutoa maamuzi based on majina yasiyo sajiliwa na TFF,huo ni ujinga ni sawa na TFF kuingilia utani. Halafu hayo majina yenyewe hayaja sajiliwa TFF na kila siku yanaibuka mapya.Na wewe sema mama hawezi kuongoza halafu jazia kwa upuuzi mwingine wakikudaka kajitete kwamba ulikuwa unamuongelea mama ntilie wa mtaani kwako maana mama wapo wengi.
Wewe mwenyewe hujuoni kama unatumia nguvu?Au ndio nyani haoni lake... labda wewe ndiye kilaza unajizungumzia wewe.Mbona unatumia nguvu kubwa kujidhalilisha. Kama wewe ndiyo mwanasheria wa Ali Kamwe, anastahili kutokulipa maana umeonyesha ni kilaza wa kutupwa.
Tff itacheza namba ngapi?Tff inasaka ubingwa wa Simba kwa mbinu zote
Mpira hauna maana kama utani haupo, hapa tupo humu sababu ya utani bila hiyo hili jukwaa lisingekuwepo. Ila kutoa maamuzi based on majina yasiyo sajiliwa na TFF,huo ni ujinga ni sawa na TFF kuingilia utani. Halafu hayo majina yenyewe hayaja sajiliwa TFF na kila siku yanaibuka mapya.
Mtu mzima uliyepewa majukumu mazito unaenda kuchafua watu na mamlaka halafu utetezi wako ni kuwa ulikuwa unatania. Taasisi yako inakulipa ili ukatanie mamlaka zingine? Madhara ya utani wako anailipa nani na nani atawasafisha hao uliowachafua?Wewe mwenyewe hujuoni kama unatumia nguvu?Au ndio nyani haoni lake... labda wewe ndiye kilaza unajizungumzia wewe.
Nani kachafuliwa.Mtu mzima uliyepewa majukumu mazito unaenda kuchafua watu na mamlaka halafu utetezi wako ni kuwa ulikuwa unatania. Taasisi yako inakulipa ili ukatanie mamlaka zingine? Madhara ya utani wako anailipa nani na nani atawasafisha hao uliowachafua?
Halafu chagua moja, ni utani au tunaongelea timu ya Kolo ya mtaani. Mbona unatuchanganya?
Hata mimi nakusapoti na ikiwezekana, yanga, jmosi asiingize timu uwanjani. No ali kamwe no match.Andamaneni kufungiwa kwake msikubali andamaneni
Ova
Kwani Ali Kamwe anacheza nafasi gani kwenye kikosi cha nyumamwiko?Tff inasaka ubingwa wa Simba kwa mbinu zote
Sasa huo utani unaouongelea unahusiana vipi na hiyo timu ya mtaani kwenu na tuhuma nzito zilizotolewa? Embu tuelimishe vizuri ili twende sawa. Tupe historia kidogo ya tuhuma hizi na hiyo timu ya mtaani kwako.Nani kachafuliwa.
Kama kuna documents ya Kolo FC imesajiliwa sawa kama hamna ni uzushi kama ulivyo uzushi mwengine kwani Kolo FC haishiriki ligi kuu na haija sajiliwa na TFF.
Nikuelimishe vipi wakati Kolo FC ni timu ya mtaani ambayo haishiriki ligi kuu na haijasajiliwa.Sasa huo utani unaouongelea unahusiana vipi na hiyo timu ya mtaani kwenu na tuhuma nzito zilizotolewa? Embu tuelimishe vizuri ili twende sawa. Tupe historia kidogo ya tuhuma hizi na hiyo timu ya mtaani kwako.
Ni utoto tu au kuna shida nyingine inachangia? Kama utetezi wenyewe ndiyo huu, adhabu ingeongezwa na ya vikobo 12 akamsimulie mama ake.Nikuelimishe vipi wakati Kolo FC ni timu ya mtaani ambayo haishiriki ligi kuu na haijasajiliwa.
Kwa hiyo unataka kuijua timu ya Kolo FC ya mtaani.Hii timu timu ipo mtaani inashiriki ligi ya mbuzi ila inabebwa na marefa, una lingine? vip hapo umeona kuna mamlaka imetajwa,kwenye hayo malalamiko zidi ya Kolo FC.
Kwa kuwa hiyo timu iko mtaani kwako,wapige picha ututumie humu JF tuone hata rangi ya jezi zao.Nikuelimishe vipi wakati Kolo FC ni timu ya mtaani ambayo haishiriki ligi kuu na haijasajiliwa.
Kwa hiyo unataka kuijua timu ya Kolo FC ya mtaani.Hii timu timu ipo mtaani inashiriki ligi ya mbuzi ila inabebwa na marefa, una lingine? vip hapo umeona kuna mamlaka imetajwa,kwenye hayo malalamiko zidi ya Kolo FC.
Sina simu yenye kamera hapa na tumia komputa jingine.Kwa kuwa hiyo timu iko mtaani kwako,wapige picha ututumie humu JF tuone hata rangi ya jezi zao.