Tetesi: Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF

Ni utoto tu au kuna shida nyingine inachangia? Kama utetezi wenyewe ndiyo huu, adhabu ingeongezwa na ya vikobo 12 akasimulie.
Sababu waliotajwa ni Kolo FC, kweli kila mtu anavutia upande wake.
 
Sina simu yenye kamera hapa na tumia komputa jingine.
Sasa nitaamini vipi kama mtaani kwako kuna timu inaitwa Kolo FC bila kunipa ushahidi !!! Yawezakana na Ally Kamwe alikuwa hana ushahidi unaoridhisha.
 
Sasa nitaamini vipi kama mtaani kwako kuna timu inaitwa Kolo FC bila kunipa ushahidi !!! Yawezakana na Ally Kamwe alikuwa hana ushahidi unaoridhisha.
Ipo sasa hata nikupa picha ndio ushahidi huo?

Haya sasa hapo wewe umeprove nini?
 
Sasa nitaamini vipi kama mtaani kwako kuna timu inaitwa Kolo FC bila kunipa ushahidi !!! Yawezakana na Ally Kamwe alikuwa hana ushahidi unaoridhisha.
Ni utoto tu unawasumbua. Uko mbele ya watu wenye akili zao uliowakashfu na kuwarushia tuhuma halafu badala ya kuomba radhi kwa kuteleza au kusimama kama mwanaume kwa kile unachoamini unazidi kuwakosea heshima na kuwapotezea muda kwa utetezi wa kipuuzi kama huu. Anastahili hata kupigwa vibao vya mashavu.
 
Okay kwani Kolo FC kwenye NBC premier league wanashika nafasi ya ngapi na uwanja wao wa nyumbani ni upi?

Mpira bila utani hauna maana na sizani hata hili jukwaa la Sports kama lingekuwepo, wanachofanya ni kujikaanga wenyewe kama nguruwe.
Huo utani ambao mlikua mnamuaminisha msemaji wenu ndio mmemponza nao Sasa amefungiwa, ila nyinyi sababu ni mashabiki maandazi mnaolishwa na kuvishwa hamjali kua mwenzenu amepoteza ajira yake ambayo alikua anailisha familia yake ...endeleeni tutaona pesa ya mo dewji na ya gsm ipi Ina nguvu..by the way hata hapo Manara ameongeza na uchawi wake mkali wa kule P....
 
Bughati anachukua nafasi ya kamwe kuelekea derby,yanga walishamchoka ally kamwe
 
Naona unaclude hizi tetesi wewe umehamia kwenye amefungiwa.Kwa hapo tunakubaliana pesa ndiyo iliyo tumika au unataka kusemaje?
 
Ndio mana Kuna dogo nadhani ngara23 nikamuuliza kwani kamwe ana umuhimu Gani yanga au na timu zote za ligi kuu pengine na nchi hii Hadi muone kitu Cha ajabu kuwaambia watu..derby ni kitu kikubwa afrika yote ,, kamwe ni sisiminzi Tu.
 
Mngekuwa serious hv against ccm tu gekuwa mbali sana kama taifa.
 
Ndio mana Kuna dogo nadhani ngara23 nikamuuliza kwani kamwe ana umuhimu Gani yanga au na timu zote za ligi kuu pengine na nchi hii Hadi muone kitu Cha ajabu kuwaambia watu..derby ni kitu kikubwa afrika yote ,, kamwe ni sisiminzi Tu.
Kama wewe ulivo nzi
 
Najua ya Ahmed Ally, yeye alishtakiwa na Yanga (sio na TFF) kuwa alisema adui namba moja wa Simba ni Yanga na adui namba mbili ni Singida BS
Kwani adui mkubwa wa Simba ni nani?
 
TFF na kamati zake zinaongozwa na wala mirungi ndio mambo yake ni vuluvulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…