kabwe makanika
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 158
- 134
Hatujakataa hivi unanielewa hilo??? Tumekuomba jaribu kushare nasi tujifunze unasema wewe nenda tu hivi hata wewe kweli unaona kitu cha kumuelezea mtu hiyo sababu? Nenda tu!! Umenishangaza umesema utakuja kushare sema lini mimi takukimbusha
Nitarudi kukukumbusha, na tutaomba mwamposa umfikishie taarifa muhimbili pia kuna walemavu wa kila ainaMuda huu nipo natimiza majukumu ya taifa mpk leo saa 3 usiku Mwenyez MUNGU akijaalia nta share...
Wasalaam
Nini kinakuzuia ? Acha kutuchota akili ukihisi sisi ni wewe unaechotwa akili kirahisi rahisi, huna Cha kutuambia hapa kituthibitishie unayoyasemaMuda huu nipo natimiza majukumu ya taifa mpk leo saa 3 usiku Mwenyez MUNGU akijaalia nta share...
Wasalaam
Muongo mboni njia yake fupi tuAnanikumbusha wakati wa popobawa…. Hakuwahi kupatikana real victim kila ukiuliza unaambiwa nyumba y’a pila au mtaa wa pili na ukienda huko wanakurudisha ulikotoka…. Hana ushuhuda wowote
Na mara usilale bila nguo, mara mlale wengi wengi😂😂😂hii nchi BADO tupo primitiveAnanikumbusha wakati wa popobawa…. Hakuwahi kupatikana real victim kila ukiuliza unaambiwa nyumba y’a pila au mtaa wa pili na ukienda huko wanakurudisha ulikotoka…. Hana ushuhuda wowote
Kuna wagonjwa pia huwa wanapona wakati anafundisha pasi na kutumia hayo maji na mafuta.Hakuna Mungu pale. Mungu hawezi kutumia maji na keki kuponya. Ni jina moja tu la Yesu Kristo ndilo tulilopewa kulitumia kwenye uponyaji na usio maji na mafuta etc. Ndio maana leo mmeanza kujiongelesha kuwa Mwamposa anazidi Yesu Kristo maana hatumii jina lake bali vitu vya kimazingara.
Huo muda tutamkumbusha muacheNini kinakuzuia ? Acha kutuchota akili ukihisi sisi ni wewe unaechotwa akili kirahisi rahisi, huna Cha kutuambia hapa kituthibitishie unayoyasema
Kama binadamu wengine wote,lazima awe na mapungufu yake mengi tu.Time will tell
Ufunuo wa Yohana 13:12Mimi binafsi imenitokea muujiza wakati naangalia tv yake tena nilitumia maji ya kununua dukani ,cha msingi imani yako itakuponya
Ni utapeli mzuri sana,, maana hata ye mwenyewe unaweza kuta mpaka leo hajui kama ametapeliwaKuna ndugu yangu mmoja Mzee alipostaafu akapata mafao akachukua mafao yake yote akaenda kuwapa wachungaji uchwara eti anachangia huduma huku yeye anabaki masikini km sio utahira ni nini ? Yaan ametapeliwa kijinga na hana kwa kwenda kushtaki
Duniani hakuna kuokokaNimeokoka na sipendi kabisa kuwazungumzia watumishi wa Mungu vibaya lakini hili la kuponywa kwa kutumia vitu tena vya kununua hapana hapana hapana.
Manabii wa UongoKweli jamaa ni Bulldozer.
Mungu anamtumia kwa kiwango cha hali ya juu.
Jamaaa anachokifsnya ni kuhakikisha watu waone matatizo yao ni marahisi sana mbele za Mungu.
Ukishaona Kanisa linahubiri sana miujiza jua ni Uongo.Watu wengi waliokata tamaa ndo wafuasi wa Mwamposa hasa wanawake waliochezea ujana wao... wale wadada waliokuwa wanadharau na kubadili wanaume, single mothers, waliotoa mimba mara kadhaa na kupata matatizo ya uzazi.. hao ni wafuasi watiifu wa Mwamposa na Kuhani Musa.
Cha ajabu Mwamposa hasubiri maombi, yeye anataka sadakaMiujiza hata Babu wa Loliondo alifanya ...hii nchi Ina wajinga wengi sana ... Fanyeni kaziiii.....
Huko mbali sanaBado hajafikia wa kuvunja rekodi ya Yesu Kristo tuwache ujuaji. Kwanza afunge siku arobaini bila kula halafu afufue aliyekufa kwa siku tatu. Acheni kufuru zisizokuwa na maana.
Kwanini huwa hawarekodi hao nyoka wanaotoka baada ya kumwaga maji?Ukimwi gani?. Kansa unaijua?. Mwamposa hana uponyaji wowote zaidi ya maluelue. Sijui nilimwaga maji yakatoka majoka mengi ,au vyura wengi etc. Tuache kudanganya watu.
Yesu Kristo rekodi yake haiwezi kuguswa hata robo ya robo. Mwambie Mwamposa afunge siku arobaini bila kula au akafufue wafu waliokufa siku tatu. Acheni propaganda ule usanini ndio mnaita uponyaji?.
Huoni ni utapeli?Ile madhabahu ina nguvu(siwezi jua kama ni ya kimungu au ya kivingine) ila tuu kiukweli inatenda.
Lakini si kwa kila mtu,inaangalia imani yako na zaidi nyota yako.
Sababu ni kwamba wewe ufanikiwe kisha ulete chochote pale madhabahuni.
Hakuna cha bure kama kwa Yesu
Yule ni tapeli pro maxMinamuona tapeli kama matapeli wengine tu