kabwe makanika
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 158
- 134
Hatujakataa hivi unanielewa hilo??? Tumekuomba jaribu kushare nasi tujifunze unasema wewe nenda tu hivi hata wewe kweli unaona kitu cha kumuelezea mtu hiyo sababu? Nenda tu!! Umenishangaza umesema utakuja kushare sema lini mimi takukimbusha
Ananikumbusha wakati wa popobawa…. Hakuwahi kupatikana real victim kila ukiuliza unaambiwa nyumba y’a pila au mtaa wa pili na ukienda huko wanakurudisha ulikotoka…. Hana ushuhuda wowote