Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Hatujakataa hivi unanielewa hilo??? Tumekuomba jaribu kushare nasi tujifunze unasema wewe nenda tu hivi hata wewe kweli unaona kitu cha kumuelezea mtu hiyo sababu? Nenda tu!! Umenishangaza umesema utakuja kushare sema lini mimi takukimbusha

Ananikumbusha wakati wa popobawa…. Hakuwahi kupatikana real victim kila ukiuliza unaambiwa nyumba y’a pila au mtaa wa pili na ukienda huko wanakurudisha ulikotoka…. Hana ushuhuda wowote
 
Muda huu nipo natimiza majukumu ya taifa mpk leo saa 3 usiku Mwenyez MUNGU akijaalia nta share...

Wasalaam
Nini kinakuzuia ? Acha kutuchota akili ukihisi sisi ni wewe unaechotwa akili kirahisi rahisi, huna Cha kutuambia hapa kituthibitishie unayoyasema
 
Ananikumbusha wakati wa popobawa…. Hakuwahi kupatikana real victim kila ukiuliza unaambiwa nyumba y’a pila au mtaa wa pili na ukienda huko wanakurudisha ulikotoka…. Hana ushuhuda wowote
Na mara usilale bila nguo, mara mlale wengi wengi😂😂😂hii nchi BADO tupo primitive
 
Hakuna Mungu pale. Mungu hawezi kutumia maji na keki kuponya. Ni jina moja tu la Yesu Kristo ndilo tulilopewa kulitumia kwenye uponyaji na usio maji na mafuta etc. Ndio maana leo mmeanza kujiongelesha kuwa Mwamposa anazidi Yesu Kristo maana hatumii jina lake bali vitu vya kimazingara.
Kuna wagonjwa pia huwa wanapona wakati anafundisha pasi na kutumia hayo maji na mafuta.
 
Mimi binafsi imenitokea muujiza wakati naangalia tv yake tena nilitumia maji ya kununua dukani ,cha msingi imani yako itakuponya
Ufunuo wa Yohana 13:12
Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake. Naye aifanya dunia na wote wakaao ndani yake wamsujudie mnyama wa kwanza, ambaye jeraha lake la mauti lilipona.

Ufunuo wa Yohana 13:14
Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi.
 
Kuna ndugu yangu mmoja Mzee alipostaafu akapata mafao akachukua mafao yake yote akaenda kuwapa wachungaji uchwara eti anachangia huduma huku yeye anabaki masikini km sio utahira ni nini ? Yaan ametapeliwa kijinga na hana kwa kwenda kushtaki
Ni utapeli mzuri sana,, maana hata ye mwenyewe unaweza kuta mpaka leo hajui kama ametapeliwa
 
Nimeokoka na sipendi kabisa kuwazungumzia watumishi wa Mungu vibaya lakini hili la kuponywa kwa kutumia vitu tena vya kununua hapana hapana hapana.
Duniani hakuna kuokoka
 
Watu wengi waliokata tamaa ndo wafuasi wa Mwamposa hasa wanawake waliochezea ujana wao... wale wadada waliokuwa wanadharau na kubadili wanaume, single mothers, waliotoa mimba mara kadhaa na kupata matatizo ya uzazi.. hao ni wafuasi watiifu wa Mwamposa na Kuhani Musa.
Ukishaona Kanisa linahubiri sana miujiza jua ni Uongo.
Lengo la Yesu ni Neno lake lihubiriwe, watu wamkubali Yesu kama Bwana na Mwokozi wao.
 
Ukimwi gani?. Kansa unaijua?. Mwamposa hana uponyaji wowote zaidi ya maluelue. Sijui nilimwaga maji yakatoka majoka mengi ,au vyura wengi etc. Tuache kudanganya watu.

Yesu Kristo rekodi yake haiwezi kuguswa hata robo ya robo. Mwambie Mwamposa afunge siku arobaini bila kula au akafufue wafu waliokufa siku tatu. Acheni propaganda ule usanini ndio mnaita uponyaji?.
Kwanini huwa hawarekodi hao nyoka wanaotoka baada ya kumwaga maji?
 
Ile madhabahu ina nguvu(siwezi jua kama ni ya kimungu au ya kivingine) ila tuu kiukweli inatenda.
Lakini si kwa kila mtu,inaangalia imani yako na zaidi nyota yako.
Sababu ni kwamba wewe ufanikiwe kisha ulete chochote pale madhabahuni.
Hakuna cha bure kama kwa Yesu
Huoni ni utapeli?
 
Back
Top Bottom