Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

Ilikuwaje mkuu unaweza kushare nasi kidogo,?
Muongo huyo wafuasi wa kibweteere hua pamoja na kibweteere, mwizi, tapeli, mnyang'anyi, kausha damu (sadaka za kujimaliza), asiejali msoto wa masikini, km ana uwezo huo aende hospital akafanye miujiza kwa wale wagonjwa waliolala vitandani kule wote wapone, huyu ni muongo muongo tu
 
Embu soma tena alichokiadika, huoni kwamba kuna sentensi ukimtoa yesu?
Sentensi Ina faida gani wewe unaangalia chapuo za kumsifu tapeli mwizi jambazi wa wazi wazi anawablackmail watu kuwa hijack on public mbele ya TV watu wanaibiwa mchana kweupe kwa kutumia jina la Yesu unaona ni Jambo maana ?
 
Niliacha kuamini hawa watu siku moja NABII TB JOSHUA nilikua namkubali sana kwa miujiza ya viwete wanatembea

Siku moja katika charity work yake walirusha ameenda kituo cha walemavu kutoa misaada.

Nilichoshangaa alitoa misaada ya chakula pamoja na wheelchairs kwa walemavu

Swali why hakuwaombea nao watembee? Akawapa chakula na wheelchairs
Na mm nasubir jibu mkuu
 
Mkuu unafahamu taratibu za kuproove km muujiza ni wa kweli au uongo?,na km huo muujiza umetoka kwa Mungu au nguvu zingine tofauti na Mungu wa kweli?.
Usimsikilize huyo muongo nna ndugu yangu ni mgonjwa mgonjwa haswa na anaenda huko kwa huyo Mwamposo sijui Mwamposa hio Posa sijui anapewa nani na anaposwa nani hivi mnaelewa maana ya Posa na Kuposa, Mwamposa ni Nickname km nickname zingine za wapigaji, wezi na waranguzi

Ndugu yangu anaenda huko kila siku hachoki na hajapona mpaka leo ni mwanamke na wanawake ni rahisi sana kuibiwa kirahisi rahisi na hawa wezi wanaitumia vizuri hio loophole ya wanawake kua wajinga wajinga wenye huruma za kijinga na kupenda miujiza ya uongo na kijinga mwisho wanaishia kuibiwa tu na wakiambiwa hapo unaibiwa hawaelewi

Ana uvimbe kwenye kizazi kaenda hospital imeshindikana kaenda kwa Mwamposa kanywa sana yale maji kanywa sana yale mafuta hakuna kitu kimetokea tatizo lipo pale pale so who is Mwamposa km sio mwizi tapeli ?
 
Sentensi Ina faida gani wewe unaangalia chapuo za kumsifu tapeli mwizi jambazi wa wazi wazi anawablackmail watu kuwa hijack on public mbele ya TV watu wanaibiwa mchana kweupe kwa kutumia jina la Yesu unaona ni Jambo maana ?
Amna mkuu nilikuwa namjibu huyo anayesema kamlinganisha wakati jamaa hakuna sehemu alipolinganisha😂😂😂 kuna mtu kasema alinunua maji akakaa kwenye tv akapata muujiza ndo nasubir hilo jbu maana haya mambo mimi hakuna mtu nayemjua ashapona na nina watu kibao wanashinda huko ILA maisha yao yanazidi kuwa ovyo
 
Hakuna KUPONA kule watu wanapigwa changa la macho tu ushahidi tunao Mimi ndugu yangu wa damu wa kuzaliwa tumbo moja toka nitoke kila siku kiguu na njia kwa Mwamposa eti anahisi siku moja atapona wapi huu mwaka wa 2 unaenda hakuna dalili za KUPONA sana sana anapigwa Pesa za Sadaka za kujimaliza tu na hakuna anachopona hali inazidi kua tete tu kila inapoitwa leo,
 
Nimependa Kawe hakuna kitu pale
Kuna principal mkuu may be hukuzifuata na muda sijaenda pale ila ukiitaji.....
Twende pale pamoja tutakuja shuhudia hapa....

Alaf usidhani wanao enda pale hawana akili timamu MWAMPOSA kasaidia sana watu...

Kuna matendo makuu ya MUNGU nimeshuhudia....na wengi wameya shuhudia ..
 
Nakwambia nimependa pale nna ndugu yangu ni mgonjwa huu mwaka wa Pili anaenda kwenye ibada hakuna ibada ya Mwamposa hajawahi hudhulia kila siku anaenda kila siku inayoenda kwa Mungu anaenda kwa Mwamposa, unanielewa lakini Ila tatizo lake lipo pale pale hajapona so who is Mwamposa km sio mwizi tapeli na wale wanaotoa shuhuda ni wajinga wajinga tu wamepangwa sijui wameshikwa na maluweluwe kichwani na zile sauti za spika zilizo juu
 
Nilikuaga kama wewe siku Moja tena nilikua kama Kiranga
Mimi nilikua mfano wa sauli roho ngumu sana....
Ikafika siku nikakata shauri miaka Sasa the rest is history...
Aaah weeee ongopea watoto wako sio sisi watu wazima aisee mifano hai tunayo na ushahidi tunao, nakwambia ndugu yangu anaenda pale hajapona mpaka leo hao wagonjwa anaowaponya anawatoa wapi mboni sijasikia Mwamposa kawaponya wagonjwa Muhimbili au Amana WAKAPONA ?
 
Hakuna KUPONA kule watu wanapigwa changa la macho tu ushahidi tunao Mimi ndugu yangu wa damu wa kuzaliwa tumbo moja toka nitoke kila siku kiguu na njia kwa Mwamposa eti anahisi siku moja atapona wapi huu mwaka wa 2 unaenda hakuna dalili za KUPONA sana sana anapigwa Pesa za Sadaka za kujimaliza tu na hakuna anachopona hali inazidi kua tete tu kila inapoitwa leo,
Na hapo ukimwambia hataki hata kukuelewa na ataenda mbali zaidi na kusema wewe ni agent wa shetani daah huwa wananifurahisha😂😂😂
 
Nilikuwa nasikiliza wimbo wa joseph nyuki tegemeo langu. Anasema yesu anaponya magonjwa yote kisukari, ukimwi, saratani, n.k. Cha ajabu jamaa ni kiwete, hana mkono. Sasa najiuliza hilo la kumrudishia mkono yesu kashindwa ama vipi?
 
Ww kuna muujiza ulikupata!?
Sio Mimi peke angu maelfu elfu wanao jazana kawe wameshuhudia matendo makuu ya MUNGU...

Mkuu kama upo dar es salaam siku Moja nenda pale nenda na ajenda yako...
Fuata formula za pale utakuja hapa kutoa mrejesho...
 
Nilikuaga kama wewe siku Moja tena nilikua kama Kiranga
Mimi nilikua mfano wa sauli roho ngumu sana....
Ikafika siku nikakata shauri miaka Sasa the rest is history...
Mkuu hujatuelezea ilikuwaje hivi unamsawishi vipi mtu KWA kumpa sentensi nyepes kama hii nilikuwa kama mtu fulani baada ya hapo kakata shauri the rest is history sasa ndo nn tuambie mm nilipitia MOJA mbili tatu katika hili kweli ni muujiza ILI tujifunze
 
Sio Mimi peke angu maelfu elfu wanao jazana kawe wameshuhudia matendo makuu ya MUNGU...

Mkuu kama upo dar es salaam siku Moja nenda pale nenda na ajenda yako...
Fuata formula za pale utakuja hapa kutoa mrejesho...
Mkuu mimi nipo curiosity kujua MUNGU alikutendea nn hapo KWenye keki na maji KWA mwamposa embu naomba. Unielekeze kidogo ushuhuda wako huenda ukachange maisha ya watu wanaosoma wengi hapa
 
Na degree mbili kutoka reputable institution Dunia...
Hii debate haiitaji hasira....mtu kama Mimi hapo kale unaanzaje ku nipeleka Kwa walokole.......
Nina shuuhuda nyingi sana za
Hapo kawe...
MUNGU ni mwema wakati wote...
Amina
Kama kuna jambo zuri ulilolipata kwa Mwamposa ni vyema ukalisema hapa ili wote tuone na kujifunza.

Kunyamaza nalo na kufurahia kivyako haina faida yoyote....ni sawa na kushona suti nzuri na kuivalia chumbani na kuivua bila kutoka nayo nje ili watu wakuone.

Uzuri wa jambo huthaminishwa na hadhara.
 
Usimsikilize huyo muongo nna ndugu yangu ni mgonjwa mgonjwa haswa na anaenda huko kwa huyo Mwamposo sijui Mwamposa hio Posa sijui anapewa nani na anaposwa nani hivi mnaelewa maana ya Posa na Kuposa, Mwamposa ni Nickname km nickname zingine za wapigaji, wezi na waranguzi

Ndugu yangu anaenda huko kila siku hachoki na hajapona mpaka leo ni mwanamke na wanawake ni rahisi sana kuibiwa kirahisi rahisi na hawa wezi wanaitumia vizuri hio loophole ya wanawake kua wajinga wajinga wenye huruma za kijinga na kupenda miujiza ya uongo na kijinga mwisho wanaishia kuibiwa tu na wakiambiwa hapo unaibiwa hawaelewi

Ana uvimbe kwenye kizazi kaenda hospital imeshindikana kaenda kwa Mwamposa kanywa sana yale maji kanywa sana yale mafuta hakuna kitu kimetokea tatizo lipo pale pale so who is Mwamposa km sio mwizi tapeli ?
Eheee!!,Umeona eenhh?!!,Sasa huyo ndugu yako ndio mgonjwa wa ukweli.Huyo akipona ugonjwa huo kwa maombezi ya Mwamposa tutasema ni muujiza kwasababu 1.Hilo ni jambo kubwa 2.Wanasayansi wameshindwa kutibu,na hivyo ni itakuwa ngumu kuelezea kisayansi jinsi alivyopona na 3.Watu tutakuwa tumeiona kweli nguvu ya Mungu kupitia kwa huyo Mwamposa,tofauti na hapo itakuwa tunadanganyana tu,na kuchezeana makidamakida.
 
Back
Top Bottom