Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

Nikiunganisha na hiyo Avatar naona maoni yako yana msukumo wa udini
 
K
Kauli ya Chifu Hangaya ni nzito sana kwa wasiokijua vyema KISWAHILI.....

Anasema hivi...."VIATU VYAKE VINANIPWAYA...."

Hapo juu unapata tafsiri nyingi Sana....ila mpaka uwe MBOBEZI WA KISWAHILI......

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA

ADUMU MILELE CHIFU MKUU HANGAYA aaaaamin aaaaaamin aaaaaamin🙏

ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA CHIFU MKUU HANGAYA , aaaamin aaaamin aaaaamin🙏
Kwa hiyo, kwa kusema Viatu Vyake vinampwaya anamaanisha kuwa anaweza kujazamo masokisi ili vimtoshe au kwamba anaweza kuvitembelea kwa kuviburuza huku vikilia mithili ya mtu atembeleavyo Kandambili zilizo oversize ilhali miguuni ana Funzo kibao?
 
K
Kila kitu haina maana FIKRA ZAKE ZISIZO SAHIHI ZIDUMU laa hashaa!

Ila fikra za mwenyekiti kutaka kugombea kipindi kijacho ni SAHIHI sanaa💪
Kwa Nini Awamu zake zote anataka kugombea kwa mteremko bila kuchuana na wenzie kama walivyofanya Maraisi waliomtangulia?
 
Mimi nakubaliana na wewe kabisa kuwa unao uwezo.Ukiamini unao uwezo unapaswa kuamini pia katika kushindanishwa na wenzio ili kuthibitisha kuwa unao uwezo.

Kwa ilipofikia ccm, madaraka ya urais ndio yanaamua nani awe rais. Katiba yetu inamuweka rais kuwa juu ya katiba na sheria, na anachoamua ndio kinachotekelezwa. Kwa jinsi Magufuli alivyodharaulisha mfumo wa uchaguzi hapa nchini, bila kubadili katiba au kutokea machafuko, itakuwa ngumu kumdhibiti rais kuamua nani awe rais, na hata nafasi nyingine za uongozi. Mazingira makubwa ya kufanya mabadiliko ya mfumo huu, ni kuwa na mgomo nchi nzima ambao utapelekea mabadiliko ya katiba na kuondoa nguvu kubwa ya rais inayotumika vibaya.
 
K

Kwa hiyo, kwa kusema Viatu Vyake vinampwaya anamaanisha kuwa anaweza kujazamo masokisi ili vimtoshe au kwamba anaweza kuvitembelea kwa kuviburuza huku vikilia mithili ya mtu atembeleavyo Kandambili zilizo oversize ilhali miguuni ana Funzo kibao?
Dhana ya Rais kufananishwa na mwingine sidhani ni sahihi.....

Hata mh.Rais SSH anataka tu kuwaridhisha "DIE HARD FANS WA HAYATI KIPENZI CHETU MAGUFULI" kwa kusema kuwa "viatu vinampwaya".....

Usisahau huyo ni mwanasiasa.....

By the way,kwa wanaojua kiswahili vyema "sherehe" ya VIATU KUMPWAYA ni pana....pana mno....pana kwelikweli.....
 
Hata Yesu kuwepo mbinguni kwa zaidi ya miaka 2000 itahitaji Biblical interpretation, au siyo??
Ayubu 1:6-12, Mungu anamuuliza shetan "umetokea wapi wewe? Umemuona mtumishi wangu Ayubu......

Shetani akamjibu Mungu, nimetoka uku kuzunguka zunguka duniani...
Sasa swali walikuwa wamekaa wapi shetani na Mungu mbinguni au duniani?

Dunian ni wapi? Na je shetani aliingia mbinguni?...... Mkuu naamin mchungaj wako atakupa majibu.
 
K
Ali Hasan Mwinyi aliwahi kusema kuwa kumlinganisha yeye na Mwalimu Nyerere ni kulinganisha kichuguu (yeye Mwinyi) na mlima Kilimanjaro (Mwalimu Nyerere), lakini alikuwa Rais wa vipindi viwili.
Kwa hiyo, kwa miaka hiyo kumi uliyemtaja alifanya yepi unayojivunia?
 
K

Kwa Nini Awamu zake zote anataka kugombea kwa mteremko bila kuchuana na wenzie kama walivyofanya Maraisi waliomtangulia?
We jamaa Unamaanisha awamu zake zote ngapi?!!!

Hivi kikatiba hujui kuwa mh.Rais SSH anaruhusiwa kugombea AWAMU MOJA tu pale ambapo anachukua urais baada ya kifo cha aliyepo madarakani chini ya miaka 3 baada ya uchaguzi mkuu?!!
 
Anaogopa nini m
Kwamba:

"Na la kushangaza Zaidi hajasema kuwa ataruhusu na wengine nao wagombee ili kushindanisha Sifa na uwezo wa kiuongozi kama ilivyotokea kwa yule aliyeziba pengo lake."

Kwani yeye ndiye anayetoa ruksa ya wengine kupambana naye? Kama ni hivyo hiyo ruksa si haitatoka, issue closed?
Anaogopa nini mpaka asitoe Hiyo Ruhusa? Si anajiamini awaalike na wenzie ili aweze kuwagalagaza vilivyo
 
Anaogopa nini m

Anaogopa nini mpaka asitoe Hiyo Ruhusa? Si anajiamini awaalike na wenzie ili aweze kuwagalagaza vilivyo
Hivi unamkumbuka mh.Membe?!!

Kipi kilimkuta baada ya KUTAKA KUGOMBEA URAIS NDANI YA CCM?!!

Usijitoe ufahamu kama mtoto mdogo "mlizi".....
 
We jamaa Unamaanisha awamu zake zote ngapi?!!!

Hivi kikatiba hujui kuwa mh.Rais SSH anaruhusiwa kugombea AWAMU MOJA tu pale ambapo anachukua urais baada ya kifo cha aliyepo madarakani chini ya miaka 3 baada ya uchaguzi mkuu?!!
Kama Awamu hii ya kwanza kapata bure kwa nini awamu ya pili asitoe nafasi ashindanishwe na wengine? Anataka awamu zote atoke kwa mteremko?
 
Kama Awamu hii ya kwanza kapata bure kwa nini awamu ya pili asitoe nafasi ashindanishwe na wengine? Anataka awamu zote atoke kwa mteremko?
Awamu hii si yake...."care taker president" baada ya kifo cha rais JPM..."unajizonga" sana....🤣
 
K
Hivi unamkumbuka mh.Membe?!!

Kipi kilimkuta baada ya KUTAKA KUGOMBEA URAIS NDANI YA CCM?!!

Usijitoe ufahamu kama mtoto mdogo "mlizi".....
Kwa hiyo, umesikia nasifia hiyo tabia ya kuogopa kupimwa uwezo na wenzio? Halafu hujui kuwa Mwenzie awamu ya kwanza alipimwa uwezo? Na huyu mwanachama mwenzio atoe awamu moja apimwe.
 
K

Kwa hiyo, umesikia nasifia hiyo tabia ya kuogopa kupimwa uwezo na wenzio? Halafu hujui kuwa Mwenzie awamu ya kwanza alipimwa uwezo? Na huyu mwanachama mwenzio atoe awamu moja apimwe.
Huo ni utamaduni wa CCM....

Unalazimisha nini ?!!!🤣🤣

Ni wakati wake hayati JPM unayesema kuwa viatu vyake vinampwaya mh.Rais SSH ndio mh.Membe alitimuliwa CCM....🤣
 
Hii awamu sio Yake wakati anaiita AWAMU YA SITA?
Awamu hii si yake...."care taker president" baada ya kifo cha rais JPM..."unajizonga" sana....🤣

Viatu vya mtangulizi wake kweli vinapwaya,ila ameamua kuchonga kwa kwakwe vinavyo mtosha kwani kila mtu ana namna yake ya kuongoza ....muache achape kazi.
Sasa kama vinampaya na ameamua Kununua vya kwake kwa Nini anajilinganisha na mtu mwingine?
 
Hii awamu sio Yake wakati anaiita AWAMU YA SITA?

Sasa kama vinampaya na ameamua Kununua vya kwake kwa Nini anajilinganisha na mtu mwingine?
Hivi hata SOMO LA URAIA ulikuwa "unadoji"?!! 🤣🤣

Yaani kweli hujui AWAMU ni kipindi cha UONGOZI WA RAIS madarakani?!!! Duuuh 🤣🤣🤣
 
Mtemi Hangaya kakosa Nini kukiri?
Maana amegundua pressure anayopewa ni kubwa Sana,Sasa akishasema hivyo maana yake mchukuliane naye,Kama mlivyochukuliana na mzee wa msoga pamoja na kuwa nchi ilimshinda.
 
andika tena kwa ufupi bro. Hata kichwa cha habari sikumaliza
 
Back
Top Bottom