Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo, kwa kusema Viatu Vyake vinampwaya anamaanisha kuwa anaweza kujazamo masokisi ili vimtoshe au kwamba anaweza kuvitembelea kwa kuviburuza huku vikilia mithili ya mtu atembeleavyo Kandambili zilizo oversize ilhali miguuni ana Funzo kibao?Kauli ya Chifu Hangaya ni nzito sana kwa wasiokijua vyema KISWAHILI.....
Anasema hivi...."VIATU VYAKE VINANIPWAYA...."
Hapo juu unapata tafsiri nyingi Sana....ila mpaka uwe MBOBEZI WA KISWAHILI......
SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA
ADUMU MILELE CHIFU MKUU HANGAYA aaaaamin aaaaaamin aaaaaamin🙏
ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA CHIFU MKUU HANGAYA , aaaamin aaaamin aaaaamin🙏
Kwa Nini Awamu zake zote anataka kugombea kwa mteremko bila kuchuana na wenzie kama walivyofanya Maraisi waliomtangulia?Kila kitu haina maana FIKRA ZAKE ZISIZO SAHIHI ZIDUMU laa hashaa!
Ila fikra za mwenyekiti kutaka kugombea kipindi kijacho ni SAHIHI sanaa💪
Mimi nakubaliana na wewe kabisa kuwa unao uwezo.Ukiamini unao uwezo unapaswa kuamini pia katika kushindanishwa na wenzio ili kuthibitisha kuwa unao uwezo.
Dhana ya Rais kufananishwa na mwingine sidhani ni sahihi.....K
Kwa hiyo, kwa kusema Viatu Vyake vinampwaya anamaanisha kuwa anaweza kujazamo masokisi ili vimtoshe au kwamba anaweza kuvitembelea kwa kuviburuza huku vikilia mithili ya mtu atembeleavyo Kandambili zilizo oversize ilhali miguuni ana Funzo kibao?
Ayubu 1:6-12, Mungu anamuuliza shetan "umetokea wapi wewe? Umemuona mtumishi wangu Ayubu......Hata Yesu kuwepo mbinguni kwa zaidi ya miaka 2000 itahitaji Biblical interpretation, au siyo??
Kwa hiyo, kwa miaka hiyo kumi uliyemtaja alifanya yepi unayojivunia?Ali Hasan Mwinyi aliwahi kusema kuwa kumlinganisha yeye na Mwalimu Nyerere ni kulinganisha kichuguu (yeye Mwinyi) na mlima Kilimanjaro (Mwalimu Nyerere), lakini alikuwa Rais wa vipindi viwili.
We jamaa Unamaanisha awamu zake zote ngapi?!!!K
Kwa Nini Awamu zake zote anataka kugombea kwa mteremko bila kuchuana na wenzie kama walivyofanya Maraisi waliomtangulia?
Kwa hiyo mh.Rais Mwinyi hakufanya kitu?!!!K
Kwa hiyo, kwa miaka hiyo kumi uliyemtaja alifanya yepi unayojivunia?
Anaogopa nini mpaka asitoe Hiyo Ruhusa? Si anajiamini awaalike na wenzie ili aweze kuwagalagaza vilivyoKwamba:
"Na la kushangaza Zaidi hajasema kuwa ataruhusu na wengine nao wagombee ili kushindanisha Sifa na uwezo wa kiuongozi kama ilivyotokea kwa yule aliyeziba pengo lake."
Kwani yeye ndiye anayetoa ruksa ya wengine kupambana naye? Kama ni hivyo hiyo ruksa si haitatoka, issue closed?
Hivi unamkumbuka mh.Membe?!!Anaogopa nini m
Anaogopa nini mpaka asitoe Hiyo Ruhusa? Si anajiamini awaalike na wenzie ili aweze kuwagalagaza vilivyo
Kama Awamu hii ya kwanza kapata bure kwa nini awamu ya pili asitoe nafasi ashindanishwe na wengine? Anataka awamu zote atoke kwa mteremko?We jamaa Unamaanisha awamu zake zote ngapi?!!!
Hivi kikatiba hujui kuwa mh.Rais SSH anaruhusiwa kugombea AWAMU MOJA tu pale ambapo anachukua urais baada ya kifo cha aliyepo madarakani chini ya miaka 3 baada ya uchaguzi mkuu?!!
Awamu hii si yake...."care taker president" baada ya kifo cha rais JPM..."unajizonga" sana....🤣Kama Awamu hii ya kwanza kapata bure kwa nini awamu ya pili asitoe nafasi ashindanishwe na wengine? Anataka awamu zote atoke kwa mteremko?
Kwa hiyo, umesikia nasifia hiyo tabia ya kuogopa kupimwa uwezo na wenzio? Halafu hujui kuwa Mwenzie awamu ya kwanza alipimwa uwezo? Na huyu mwanachama mwenzio atoe awamu moja apimwe.Hivi unamkumbuka mh.Membe?!!
Kipi kilimkuta baada ya KUTAKA KUGOMBEA URAIS NDANI YA CCM?!!
Usijitoe ufahamu kama mtoto mdogo "mlizi".....
Huo ni utamaduni wa CCM....K
Kwa hiyo, umesikia nasifia hiyo tabia ya kuogopa kupimwa uwezo na wenzio? Halafu hujui kuwa Mwenzie awamu ya kwanza alipimwa uwezo? Na huyu mwanachama mwenzio atoe awamu moja apimwe.
Awamu hii si yake...."care taker president" baada ya kifo cha rais JPM..."unajizonga" sana....🤣
Sasa kama vinampaya na ameamua Kununua vya kwake kwa Nini anajilinganisha na mtu mwingine?Viatu vya mtangulizi wake kweli vinapwaya,ila ameamua kuchonga kwa kwakwe vinavyo mtosha kwani kila mtu ana namna yake ya kuongoza ....muache achape kazi.
Yeye ajajiringanisha na mtu ila watu ndo wanataka kumringanisha na yuleHii awamu sio Yake wakati anaiita AWAMU YA SITA?
Sasa kama vinampaya na ameamua Kununua vya kwake kwa Nini anajilinganisha na mtu mwingine?
Hivi hata SOMO LA URAIA ulikuwa "unadoji"?!! 🤣🤣Hii awamu sio Yake wakati anaiita AWAMU YA SITA?
Sasa kama vinampaya na ameamua Kununua vya kwake kwa Nini anajilinganisha na mtu mwingine?