Hakuna kitu kpya kwenye siasa kama livyo ccm kuwafukuza masauni, Stella msambatavangu, Sofia, madabida no hivyo hivyo kwa CDMBavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.
Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapao ndipo usomi wenu unakuwa wa hovyo na wa kutia mashaka.
Pauline Gekul, Mwita waitara , Katambi, Zito Kabwe , Kitila Mkumbo ,Chacha Wangwe wote wamefukuzwa Chadema na kupata matatizo kwa kutaka Mbowe aondoke madarakani walikuwa ni ccm?
Ni ccm yupi anayetaka mbowe aondoke madarakani?
Bavichaa mmebuni mbinu ya kumlinda Mbowe kwa kujificha kwenye kivuli cha ccm??
Kwa sababu hanunulikihatunywi sumu hatujiui mbowe mbele kwa mbele. in capt kombe voice
lumumba mtaisoma namba mbowe habanduki mpaka chadema ishike dola.
Unashangaa nini mbona ccm wanataka magu aongezewe mudaInasemaje? Inasema Mbowe awe Mwenyekiti wa Maisha.?
Sijawahi kuona ukitoa povu ccm itoke madarakani maana tangu uhuru mnaendele kuwa mdarakani na kufukarisha Nchi na wajingaSiyo CCM tu hata Mungu anataka hivyo kwa sababu muda wake umekwisha na anapaswa kupisha wengine kama yeye walivyompisha pia, vinginevyo afute neno ,,demokrasia” kwenye chadema.
Hebu rudia tena kujisoma!haa haa mkuu chadema wanapata wapi kuwasemea wasio na vyama nje ya chama?
Sijawahi kuzikia chama chochote cha siasa duniani kinahangaika na uongozi wa chama pinzani isipokuwa CCM tu. Naona huyu Mbowe anawaharibia CCM mpango yao ya kuwepo upinzanihatunywi sumu hatujiui mbowe mbele kwa mbele. in capt kombe voice
lumumba mtaisoma namba mbowe habanduki mpaka chadema ishike dola.
Vipi kuhusu ccm iliyomamlakani inayolindwa kwa Bunduki hii kwako haiwezi kuwa tatizo?? ila Mbowe?Slaa alikuahidi uwaziri mkuu niniUjinga ni kumtetea Mbowe, wakati mnajua kabisa kavunja katiba ya Chama kwa kupitiliza ukomo wa Uongozi.
Chadema sio Saccos kwamba mtu anaweza kuendesha maisha yake yote, Chadema ni Chama cha wananchi kinachoendeshwa na kodi za wananchi....hivyo sheria lazima zifuatwe kwenye uendeshaji wake.
Naona wafuasi wa Mbowe mnavyohangaika kumpa uhalali boss wenu kuendelea kutafuna ruzuku.
Mara Kubenea,Kom ama CCM hamjui mchawi wa Mbowe ni Mbowe mwenyewe.... Demokrasia tunayoililia kila siku lazima tuwe tayari kuiishi hata kama Chungu.
kwa manufaa ya JF na wanaccm wenzio unaweza kuweka hapa kifungu ambacho Mbowe amekivunja ?Ujinga ni kumtetea Mbowe, wakati mnajua kabisa kavunja katiba ya Chama kwa kupitiliza ukomo wa Uongozi.
Chadema sio Saccos kwamba mtu anaweza kuendesha maisha yake yote, Chadema ni Chama cha wananchi kinachoendeshwa na kodi za wananchi....hivyo sheria lazima zifuatwe kwenye uendeshaji wake.
Naona wafuasi wa Mbowe mnavyohangaika kumpa uhalali boss wenu kuendelea kutafuna ruzuku.
Mara Kubenea,Kom ama CCM hamjui mchawi wa Mbowe ni Mbowe mwenyewe.... Demokrasia tunayoililia kila siku lazima tuwe tayari kuiishi hata kama Chungu.
Ni ccm yupi anayetaka mbowe aondoke madarakani?
Usimfananishe mbowe na vitu vya kijingaHata Magufuli ukitaka akuone Mzalendo sifia unga mkono juhudi zake, hapo atakuona mzalendo wa kweli.
Vivyo hivyo na Chadema ukitaka uonekane mwerevu na shujaa msifie,mtetee Mbowe kwa kila hali hapo utaonekana kamanda wa ukweli.
Magufuli ukimhoji utaitwa sio mzalendo ama sio raia, Mbowe ukimkosoa ama kuhoji utaitwa msaliti ama muasi.
Watanzania tumejaa unafiki sana
Mara Kubenea,Kom ama CCM hamjui mchawi wa Mbowe ni Mbowe mwenyewe.... Demokrasia tunayoililia kila siku lazima tuwe tayari kuiishi hata kama Chungu.
Swali lako ni jibu toshaHabari zenu wana jamvi. Mara nyingi nimefuatilia threads zinazomshinikiza Mbowe aachie ngazi. Tena hoja zinazotolewa ni za kitoto tu. Halafu nikifuatilia watoa threads naona ni wa mlengo wa kulia. Swali langu ni je, kama kweli kuachia ngazi kwa Mbowe kutakuwa na faida kwa CDM ni kwanini shinikizo litoke without na sio within? Tangu lini CCM ikaitakia mema CDM? najiuliza tu.
tia nyama ndugu.huwa wanajiwekaga na wanatafuta watu wachache ku justify
museven Uganda anafanya hivyo hivyo
ifike wakati hawa tunaowapenda sana tuwakosoe ni kwa faida ya taifa
CDM ikifa leo sio afya kwa taifa
Ni katiba ipi sliyoivunja Mbowe, tunaomba utuwekee hicho kifungu cha katiba kama ushahidi.Ujinga ni kumtetea Mbowe, wakati mnajua kabisa kavunja katiba ya Chama kwa kupitiliza ukomo wa Uongozi.
Chadema sio Saccos kwamba mtu anaweza kuendesha maisha yake yote, Chadema ni Chama cha wananchi kinachoendeshwa na kodi za wananchi....hivyo sheria lazima zifuatwe kwenye uendeshaji wake.
Naona wafuasi wa Mbowe mnavyohangaika kumpa uhalali boss wenu kuendelea kutafuna ruzuku.
Mara Kubenea,Kom ama CCM hamjui mchawi wa Mbowe ni Mbowe mwenyewe.... Demokrasia tunayoililia kila siku lazima tuwe tayari kuiishi hata kama Chungu.
Ccm Magufuli aligombea na nani uenyekiti? Wape ushauri huu ccm wenzako.Na hao wanaokutana na kutaka Mbowe aachie Madaraka wana kosa gani.....kwa nini asiruhusu demokrasia yeye achukue na wengine wachukue fomu kura zipigwe wanachama ndio waamue.?
Acha kumshirikisha Mungu na upumbavu wakoSiyo CCM tu hata Mungu anataka hivyo kwa sababu muda wake umekwisha na anapaswa kupisha wengine kama yeye walivyompisha pia, vinginevyo afute neno ,,demokrasia” kwenye chadema.
Chuki zako zinazidi kukujaza ujinga, hajuna muswada wowote unaoweza kupelekwa bungeni kwa jina la Magufuli acha utoto.Basi tusilalamike siku ccm wakipeleka hoja bungeni kuwa Magufuli atawale bila ukomo.
Hii ni katiba halali au haram? Ofisi ya msajili inaitambuwa au haiitambui katiba hii?katiba ambayo iliwekwa ku mfavor mbowe?
sawa na katiba za kitaifa za watu kuhama vyama, kujivua ubunge, kutumia hela tena kurudia chaguzi.Katiba zinazowapa ma dc power, katiba za NEC za kuhusu chaguzi
ebu acha ujinga na mahaba, katiba za waafrika hawa wawe kwenye vyama, serikalini n.k haziko sahihi
mkuu kwa mahaba umegeuka kama CCM na serikali yake eti "katiba imevunjwa wapi" aibu
kuna vitu unakaa kimya tu