Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Wewe huna akili, mwenyekiti wa kwanza wa CCM alikaa madarakani miaka mingapi, ina maana hakuna demokrasia huko? na Chadema kama amechaguliwa, we unataka demokrasia gani tena, jiongeze !!
 
Huyo Lipumba mnayemnganganiza abaki CUF mbona hakuna anayemulizia???
Ama wakina Mrema? Ama hao hamwaoni?
 
Inaelekea unamzimikia sana mbowe!

Ova
 
Mbn wakionekana watu wa kutaka chuana na mwenyekiti wenu hko chichiem mnakuja juu!
Hmtaki mchuano

Ova
 
Mbn wakionekana watu wa kutaka chuana na mwenyekiti wenu hko chichiem mnakuja juu!
Hmtaki mchuano

Ova
Wa huko wakitaka kuchuana yanawakuta makubwa zaidi
WANGWE, KABWE ........
 
Kwanini mwenyekiti wenu akitaka kupingwa anaita kukwamishwa kwenye juhudi zake
 
Duuhh!! Hili la matrekta limenishtua kidogo.. Kumbe ni wapenda madaraka... Tumekwishaaa.
 

Swali lako ni zuri saaaaana BUT huwezi kupewa jibu sahihi zaidi utajibiwa porojo tu wanachadema.
 
Wakuu Natoa Taarifa Tu Kwamba, Freeman Mbowe anakaribia Kufikisha Miaka20 Akiwa Kama Mwenyekiti Wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo.
 
Wakuu Natoa Taarifa Tu Kwamba, Freeman Mbowe anakaribia Kufikisha Miaka20 Akiwa Kama Mwenyekiti Wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo.

Sawa thank you kwa taarifa, tunaomba na takwimu za lipumba na cheyo
 
Kwakweli CHADEMA akifa mbowe nayo Chali kifo cha mende..Ila mbowe ana roho ya paka kama siyo ya msukule,yani mabomu yote wanayopigwa bado yumo tu?Piga chini uishi maisha mazuri[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi CHRISTIAN DEMOCRATIC UNION( CDU) chama cha Angela Merkel kilikuwa kinafanya uchagizi wa kumchagua kiongozi wa chama baada ya Merkel kukiongoza chama hicho kwa miaka 18. Na ni chama chenye kufuata democracy. Huku kwetu ni mitazamo tu. CCM toka kuanzishwa kwake kimekuwa na webyeviti watano toka mwaka 1977. Chadema toka kuanzishwa kwake kimekuwa na wenyeviti watatu kuanzia mwka 1992 .Sioni tatizo. Ukiangalia uwiano na CCM ni sawa tu
 
Vipiq Mbowe alichaguliwa na wanachadema na si maccm,hata akikata miaka 100 kwasababu wanachama ndo wanaomchagua,ninyi endeleeni kuunga mkono mashetani .
 
Bora mbowe bado chama chake kinachaguzi japo haina ukomo je, ATC kiongozi mkuu wa chama asiyechakuguliwa ataishi hiyo nafasi mpka lini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…