Umshangae na Nyerere kukaa madarakani miaka 25..
Na CCM kung'ang'ania madaraka miaka 41 na kudiriki hata kufanya mauwaji kama yale ya jan. 27 na yakaribuni..
Na POMBE kung'ang'ania ubunge miaka 20 ikiwa ni pamoja na kuwapakia wapinzani wake matrekta barabarani ili wasirudishe fomu naye apite bila kupingwa..
Juu ya yote hayo cheo cha uenyekiti upinzani ni Wito..
Risasi iliyomuuwa AQWILINA ilikusudiwa kumlenga Mbowe..
Mwenyekiti kaharibiwa mashamba chini ya agizo la pombe..
Mwenyekiti muda huu unapopost uhayawani, yeye yupo korokoroni
MLITAKA MWENYEKITI AWE KATAMBI ? AU WAITARA ? AU MTATIRO ? AU MILLYA ?