Nivyema umetambua kwamba kuna mbumbumbu weni chama cha nziKwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.
Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.
Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.
Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.
Maendeleo hayana vyama!
Yo!Wabunge ni wakina Msukuma wanaojinasubu kuwa wana elimu ya darasa la saba.
Wengine wanashindwa kuhoji hoja ya Zitto kuwaomba IMF wasitishe mkopo wa maendeleo ya elimu kwa Tanzania wanaomba Zitto auliwe.
JF raha sanaTangu lini IFM ikajihusisha na utoaji wa fedha za mikopo? IFM iko magogoni pale
Ni IMF bana! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Comrade nimeamini CCM mnahaki ya kulalamika hasa baada ya kumuona eti Dr mollel kawa naibu waziri 🤣🤣🤣Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.
Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.
Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.
Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.
Maendeleo hayana vyama!
Kosa la Dr. Ndungulile ni nini?Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.
Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.
Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.
Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee msikilize Silinde yuko mubashara Star tv anamwaga mboga!Comrade nimeamini CCM mnahaki ya kulalamika hasa baada ya kumuona eti Dr mollel kawa naibu waziri 🤣🤣🤣
hawa ni kitengo maalum kwa kazi maalum ukihitajika ujinga kwenye ishu muhimu Anaanza Mlinga anakuja Lusinde akiingia Msukuma hapatambulikani shauri tena. Kwa iyo wapo kwa kazi maalumMusukuma drs vii failure na yuleeeeee Lusinde aka taarifa na muongozo wataweza nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha propaganda Kama ni kweli chakubanga polepole asingekaa kimyaJ J Mnyika ndio aliiandikia barua CCM kuomba kujiunga......alikubaliwa na ubunge atagombea mkoani siyo Kibamba!
[emoji40][emoji40]View attachment 1451977
Silinde atawafaa hapo lumumba kuwaongozaBwashee msikilize Silinde yuko mubashara Star tv anamwaga mboga!
Hivi Kuna mtu nchi hii mwenye akili timamu anaweza kuwa na kadi ya ccm?Hii ccm ya Magufuli ni level ya kina msukuma,kibajaji,harmonize , diamond,and the likeKwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.
Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.
Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.
Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.
Maendeleo hayana vyama!
Nachoshangaa zaidi hadi wewe mmoja wa wana-mataga amewafungia vioo,inauma Sana,Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.