Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

Ukosefu wa maarifa unaweza ukakunyima opportunities nyingi sana na wenye maarifa wanapeta na kupepea.

Kwa bahati mbaya tena hata hao wenye maarifa nao wanaangalia matumbo yao kuliko ya wengine.

Motoni wataenda wengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.

Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.

Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.

Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.

Maendeleo hayana vyama!
Nivyema umetambua kwamba kuna mbumbumbu weni chama cha nzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini IFM ikajihusisha na utoaji wa fedha za mikopo? IFM iko magogoni pale
Ni IMF bana! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
JF raha sana
 
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.

Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.

Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.

Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.

Maendeleo hayana vyama!
Comrade nimeamini CCM mnahaki ya kulalamika hasa baada ya kumuona eti Dr mollel kawa naibu waziri 🤣🤣🤣
 
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.

Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.

Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.

Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.

Maendeleo hayana vyama!
Kosa la Dr. Ndungulile ni nini?
 
Sasa wabunge wengine ndio hawa akina Harmonize wanaopigiwa debe unafikiri watakuwa na uwezo gani wa kuhoji mambo?? Ndio maana jiwe anawapenda wabunge wajinga wajinga kwa sababu hawana uwezo wa kufikiri kwa kina.
 
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.

Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.

Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.

Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi Kuna mtu nchi hii mwenye akili timamu anaweza kuwa na kadi ya ccm?Hii ccm ya Magufuli ni level ya kina msukuma,kibajaji,harmonize , diamond,and the like
 
Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri.

Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu Nchemba ambao awali aliwatumbua.

Hii inamaanisha CCM ina idadi kubwa ya wabunge lakini wenye ubora mdogo.

Niwaombe wanaccm mwaka huu tusirudie makosa ya kuwarundika bungeni mbumbumbu.....tujali ubora siyo wingi.
Watu wasio minesterial material wanastahili kuwepo upinzani siyo Chama tawala.

Maendeleo hayana vyama!
Nachoshangaa zaidi hadi wewe mmoja wa wana-mataga amewafungia vioo,inauma Sana,
 
Back
Top Bottom