Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?

Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Labda kinafuliwa na kupigwa pasi kila baada ya matumizi
 
Inaitwa PR iko pia magomeni na uwanja wa taifa
 
Hiyo ni kawaida kwa bar mpya sinza
Ukifungua bar mpya sinza kali inajaza kwa miaka miwili ya kwanza sana
Akitokea mwingine akafungua twna mpya kali wotw wanahamia huko
...yani walevi wana tabia za ajabu sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…