Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?

Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Labda kinafuliwa na kupigwa pasi kila baada ya matumizi
 
We Kweli mkongwe, joh alikuwa anakaa Ile gesti pembeni ya meeda ya buku kumi tulikuwa ukibeba mlupo unapeleka mle ndani ana parking kubwa short time kwenye parking unampa mlinzi buku 5.

Ilikuwa inaitwa Pattaya I think jamaa amekaa sana pale na Kuna wakati alikuwaga mpaka mshkaji unampa bia mageto akiwa anadaiwa unawapiga Kiswahili jamaa ili akae kijanja. Dah long fucken.
Inaitwa PR iko pia magomeni na uwanja wa taifa
 
Hiyo ni kawaida kwa bar mpya sinza
Ukifungua bar mpya sinza kali inajaza kwa miaka miwili ya kwanza sana
Akitokea mwingine akafungua twna mpya kali wotw wanahamia huko
...yani walevi wana tabia za ajabu sana aisee
 
Back
Top Bottom