MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Nasoma Kuna vurugu za kijinga, unaweza ukapigwa Chupa usipokuwa makiniHivo viwanja vyote navijua ila hapo NASOMA papo vizuri kma upo mbeya jaribu kutembelea ila kuna nyomi hatari
Mkuu mbona mbeya pazuri watu waliuana kabisaaNasoma Kuna vurugu za kijinga, unaweza ukapigwa Chupa usipokuwa makini
Na wizi wa kitoto.
SI unajua ndio chimbo la Vijana wa mama John mpaka Ivumwe kule
nenda Joy ES Lava Goba kwenda Madale huko nako balaa kubwaCalabash, 5N, Catalunya, Mawasiliano park pameshadoda
Ilikuwa zamani sana wakati huo ilikuwa kama fitna tuMkuu mbona mbeya pazuri watu waliuana kabisaa
Umewahi sikia Nasoma watu wameuana?
Afu nilipita hapo last month pamefanyuwa modifications ya hatari
Ndo ufala wa hii biasharaItafika muda patadoda kama Papii Churo, litaibuka chimbo lingine.
Kitambaa cheupe na Kikumbi kama kuna uhusiano na King Kiki Kikumbi Mwanza na kitambaa cheupe, au hiyo pisi ya kikinga imeolewa na mutu ya Congo, kwa maana bakongo bana makuta balaa.Hyo Cha mtoto nenda Kitambaa Waiti Ya Tabata(Zamani maeda bar) utafurahi na Roho Yako.
.
Mmiliki anaitwa Jane Kikumbi, Mkinga Mmoja pisi Kali mnoo Ila bahati Mbaya amefunga Ndoa Mwaka Jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeisha hiyooo Jesca sio wamchezo mchezo ametumwa hela kisawasawaWamesaidia kupunguza nyodo za boardroom. Lachaz sijui atafufuka?
Liongo weweKuna vitu huwa wanaweka pale mlangoni pa kuingia ndani binafsi nimeshuhudia wakifanya hivyo.
Hizo bar ni ushirikina mtupu
Ivi mkuuu lastanza bado ipo?nenda Joy ES Lava Goba kwenda Madale huko nako balaa kubwa
Ndo uchawi huo sasaIlikuwa zamani sana wakati huo ilikuwa kama fitna tu
Acha utapeli dogoNATO ZAWADI KWA WAPENDA MADAM AU MAKUSANYIKO:
Tafuta kobe dume, mayai nane ya kienyeji na pakiti ya sea salts,
Chimba shimo mbele ya bar yako la ukubwa fulani panga mayai nane ndani chukua kobe wako muweke aitazame bar mimina chumvi yako omba fukia / nyomi lake si la kitoto! Baada ya siku 40
Hajadai hela lakini [emoji28][emoji28]Acha utapeli dogo
Dalili ya mvua,,,,?
Jaribu uone sio utapeli huo, lakini ujue kitazaliwa kitu hapo (anciety hidden rituals)Acha utapeli dogo
Huyo Kobe anafukiwa hapo au?NATO ZAWADI KWA WAPENDA MADAM AU MAKUSANYIKO:
Tafuta kobe dume, mayai nane ya kienyeji na pakiti ya sea salts,
Chimba shimo mbele ya bar yako la ukubwa fulani panga mayai nane ndani chukua kobe wako muweke aitazame bar mimina chumvi yako omba fukia / nyomi lake si la kitoto! Baada ya siku 40
Mlevi ni mshenzi nitafunga barWanywaji bia wako very complicated wakiama wanahama kama nzige na wakiamia ni hivyohivyo pia.
Wewe utakuwa mgeni jijini Dar es salaam,kuna bar zilitamba eg Kwa macheni,Shentembaa,Criss burger,IgongweYaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Chris's burger manyanya paleWewe utakuwa mgeni jijini Dar es salaam,kuna bar zilitamba eg Kwa macheni,Shentembaa,Criss burger,Igongwe