Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Mashoga hawana soko bali ndo wameshikiria connections nyingi.Dunia inaenda kasi sana..yani watu wameacha mitako wamehamia kwenye mashago..inamaana mashago sasahivi ndio kivutio cha wateja baa.
#MaendeleoHayanaChama
So walevi wengi akili zao za kulogwa haa haaa tuwaombeendio kilichoshamiri kwenye hizo biashara mkuu.
Yaani wanywaji wengine wanashida sana,
unakuta mnywaji huyo huyo nyumbani mke anamroga kwa limbwata, labda ana nyumba ndogo nayo inampa limbwata, kwenye kazi au biashara zake wapinzani wake wanamloga , halafu kama ni mnywaji kwenye mabar wanamroga avutike kwenda kunywa kwenye bar yake,
Meeda mpaka leo inajaza fullLa chalz, meeda,.mwika zote zilijazaga hivyoooo
Hizi biashara ni upepo unakujaga utapita
Ova
meeda daa wana wamejipigia sana kwa masai pale ha ha kweli kuisha kupoMeeda mpaka leo inajaza full
Mie huwa nakosa parking inabidi nikaegeshe mtaa wa pili huko
Unaonaje ukienda kuwauliza wao?Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Mbeya sijui mna tatizo gani kiburudani yule kajula alijitahidi kuwekeza mkamtenda sijui mkoje watu wa mbeya haya watoto wa mzee mwailubi nao wanajikongoja ila bado sanaSisi huku mbeya tunatamba na mbeya pazuri
We utakuwa ulienda uhuru peakIla hii biashara ni pasua kichwa nyie. Ile Iddi pili nilienda bar moja ipo Manyanya chini ya papii churo. Palikuwa na band na ilifika muda tulikuwa wateja wanne, watu kumbe walikuwa wanajuana wakaondoka kwa mpigo, nikabaki peke yangu band ikaniimbia wimbo mmoja wa mwisho kisha wakanishukuru sana ndugu mteja, akaja DJ.
Nilivyoenda bar ya mbele pale karibu na kituo cha mafuta nikakuta nyomi mpaka siti za kutafuta.
Yaani maumivu ya hii biashara inakufia huku ukijua aliyekuua ni fulani.
mmhh...pisi kali !!.. haya.Hyo Cha mtoto nenda Kitambaa Waiti Ya Tabata(Zamani maeda bar) utafurahi na Roho Yako.
.
Mmiliki anaitwa Jane Kikumbi, Mkinga Mmoja pisi Kali mnoo Ila bahati Mbaya amefunga Ndoa Mwaka Jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
China Bar ya tegeta ilikuwa hatari saana lakini ilivyokufa Hadi Paka wa pale Bar wakakonda.Hivi China bar iliishia wapi?
FM Academia pale La Chaaz wamemuimbia juzi mteja mmoja tu, wimbo wa happy birthday Hadi huruma.Ila hii biashara ni pasua kichwa nyie. Ile Iddi pili nilienda bar moja ipo Manyanya chini ya papii churo. Palikuwa na band na ilifika muda tulikuwa wateja wanne, watu kumbe walikuwa wanajuana wakaondoka kwa mpigo, nikabaki peke yangu band ikaniimbia wimbo mmoja wa mwisho kisha wakanishukuru sana ndugu mteja, akaja DJ.
Nilivyoenda bar ya mbele pale karibu na kituo cha mafuta nikakuta nyomi mpaka siti za kutafuta.
Yaani maumivu ya hii biashara inakufia huku ukijua aliyekuua ni fulani.
La chalz, meeda,.mwika zote zilijazaga hivyoooo
Hizi biashara ni upepo unakujaga utapita
Ova
Mbeya sijui mna tatizo gani kiburudani yule kajula alijitahidi kuwekeza mkamtenda sijui mkoje watu wa mbeya haya watoto wa mzee mwailubi nao wanajikongoja ila bado sana
Hizo bar za mjazanoo tulishawachiaga,mwendo kwa mangi tu
Ova
Umeonge kikawa8da sana hakuna siri iliyotoka hapo? Toa siri kwanini watu wanajaa kitambaa cheupe lakini 5N kweupee wakati huduma zote zipo pia?Ngoja nikupe siri ndugu.
Usifungue biashara sehemu eti kwakuwa umeona jirani amelemewa na wingi wa wateja. You will suffer consequences.
Unaweka kuuza bidhaa sh.elfu 2000 kama mbinu ya kuvutia wateja na wasikuone wakaendelea kwenda kununua kwa jirani yako anayeiuza sh.elfu 5.
Unaweza kuwa na lugha laini na nzuri na wateja wasije kwako wakaenda kwa jirani yako ambaye huwakaripia wateja daily.
Hivi hizi picha zinazopigwa na kumbi za starehe, huwa wanawaomba ruhusa wahusika?
Umeonge kikawa8da sana hakuna siri iliyotoka hapo? Toa siri kwanini watu wanajaa kitambaa cheupe lakini 5N kweupee wakati huduma zote zipo pia?