Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Dunia inaenda kasi sana..yani watu wameacha mitako wamehamia kwenye mashago..inamaana mashago sasahivi ndio kivutio cha wateja baa.

#MaendeleoHayanaChama
Hapana. Mashoga hawana soko bali ndo wameshikiria connections nyingi.
Wanawake wanajiuza kirahis kupitia mashoga kuliko wanawake wenzie. Hata connections za madawa, human traffiking, na conspiracy wanatumika sana!
Shoga akimkarbia mkeo ni virus mbaya. Anamuuza asubuhi asubuhi! Kuna mashoga wanakula na kuliwa. Hawa viumbe ni hybrid gani ya watu sijui!
Ndo maana wanaume wa dar malaya wana no za mashoga si kwa kuwainamisha wao!
Mashoga hawawez kuwa na soko kubwa bongo maana wenye pesa mjini weng si asili ya coastal regions!
Bado k ni k tu. Ina thaman yake nzuri bado!
 
So walevi wengi akili zao za kulogwa haa haaa tuwaombee
 
La chalz, meeda,.mwika zote zilijazaga hivyoooo
Hizi biashara ni upepo unakujaga utapita

Ova
Meeda mpaka leo inajaza full
Mie huwa nakosa parking inabidi nikaegeshe mtaa wa pili huko
 
We utakuwa ulienda uhuru peak
 
FM Academia pale La Chaaz wamemuimbia juzi mteja mmoja tu, wimbo wa happy birthday Hadi huruma.
 
La chalz, meeda,.mwika zote zilijazaga hivyoooo
Hizi biashara ni upepo unakujaga utapita

Ova

Mwika ndio dona ilianza kua promoted mitaa ile ugali wa dona, utumbo au nyama imewekewa mbogamboga ukimaliza unatandika maji safi unaondoka
 
Mbeya sijui mna tatizo gani kiburudani yule kajula alijitahidi kuwekeza mkamtenda sijui mkoje watu wa mbeya haya watoto wa mzee mwailubi nao wanajikongoja ila bado sana

Mbeya pazuri siielewi kabisa kwa vibe naikumbuka Shaba Pub ya enzi zile ilikua soweto ilikua unatoka lusaka unawaza ufike haraka shaba pub ule nyama walikua na jiko safi plus mtungi wa maana
 
Hizo bar za mjazanoo tulishawachiaga,mwendo kwa mangi tu

Ova
 
Hizo bar za mjazanoo tulishawachiaga,mwendo kwa mangi tu

Ova

Ewaaaa mambo yanaenda kwa rika hayo kukimbizana usiku kucha unahama viwanja kwa umri wa utu uzima nayo sio, kwa mangi unakaa na wazee wenzio wawili watatu story kidogo unakula monde unarudi home mapema na unakua karibu na nyumbani, vijana damu bado imechemka wanaenda kuangalia makalio ya wahudumu,
 
Umeonge kikawa8da sana hakuna siri iliyotoka hapo? Toa siri kwanini watu wanajaa kitambaa cheupe lakini 5N kweupee wakati huduma zote zipo pia?
 
Umeonge kikawa8da sana hakuna siri iliyotoka hapo? Toa siri kwanini watu wanajaa kitambaa cheupe lakini 5N kweupee wakati huduma zote zipo pia?

Huyo alifungua duka karibu na muha kilichomtokea ndio hadi leo anahadithia na bei alishusha kabisa lakini wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…