Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Itafika muda patadoda kama Papii Churo, litaibuka chimbo lingine.
Zamani miaka ya 90 kulikuwa na baa pale magomeni ikujulikana kwa Macheni ilikuwa inafurika mpaka asubuhi inabidi wale survivors waliokesha wapewe supu ya bure kabla baa haijafungwa kwa saa tatu kufanya usafi. Ilikuwa inafunguliwa saa nne asubuhi na kufungwa saa moja asubuhi kesho yake. Je bado ipo?
 
Zamani miaka ya 90 kulikuwa na baa pale magomeni ikujulikana kwa Macheni ilikuwa inafurika mpaka asubuhi inabidi wale sutrvivors waliokesha wapewe supu ya bure kabla baa haijafungwa kwa saa tatu kufanya usafi. Ilikuwa inafunguliwa saa nne asubuhi na kufungwa saa moja asubuhi kesho yake. Je bado ipo?

Na macheni mwenyewe ashafariki
 
Hiyo macheni ilikuwa kama bar ya nchi. Mwenye nayo Hussein Macheni kafariki 2016
 
Kuna chimbo moja liko Himo njia panda sikumbuki jina ila misiba yote ya Kaskazini lazima ikutane hapo night then asubuhi kila mtu anasepa kivyake.Watu wanakula bia Mpaka maiti zinashangaa yaani mwenye ile chimbo kawini.
Panaitwa Mombasa highway pale ni shida
 
Ila hii biashara ni pasua kichwa nyie. Ile Iddi pili nilienda bar moja ipo Manyanya chini ya papii churo. Palikuwa na band na ilifika muda tulikuwa wateja wanne, watu kumbe walikuwa wanajuana wakaondoka kwa mpigo, nikabaki peke yangu band ikaniimbia wimbo mmoja wa mwisho kisha wakanishukuru sana ndugu mteja, akaja DJ.

Nilivyoenda bar ya mbele pale karibu na kituo cha mafuta nikakuta nyomi mpaka siti za kutafuta.
Yaani maumivu ya hii biashara inakufia huku ukijua aliyekuua ni fulani.
Raskarinyo
 
Zamani miaka ya 90 kulikuwa na baa pale magomeni ikujulikana kwa Macheni ilikuwa inafurika mpaka asubuhi inabidi wale survivors waliokesha wapewe supu ya bure kabla baa haijafungwa kwa saa tatu kufanya usafi. Ilikuwa inafunguliwa saa nne asubuhi na kufungwa saa moja asubuhi kesho yake. Je bado ipo?
Ilikufa Macheni mwenyewe alipokufa.
 
Back
Top Bottom