Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Itafika muda patadoda kama Papii Churo, litaibuka chimbo lingine.
Zamani miaka ya 90 kulikuwa na baa pale magomeni ikujulikana kwa Macheni ilikuwa inafurika mpaka asubuhi inabidi wale survivors waliokesha wapewe supu ya bure kabla baa haijafungwa kwa saa tatu kufanya usafi. Ilikuwa inafunguliwa saa nne asubuhi na kufungwa saa moja asubuhi kesho yake. Je bado ipo?
 

Na macheni mwenyewe ashafariki
 
Hiyo macheni ilikuwa kama bar ya nchi. Mwenye nayo Hussein Macheni kafariki 2016
 
Kuna chimbo moja liko Himo njia panda sikumbuki jina ila misiba yote ya Kaskazini lazima ikutane hapo night then asubuhi kila mtu anasepa kivyake.Watu wanakula bia Mpaka maiti zinashangaa yaani mwenye ile chimbo kawini.
Panaitwa Mombasa highway pale ni shida
 
Raskarinyo
 
Ilikufa Macheni mwenyewe alipokufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…