Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Kwahiyo unataka kumwambia yale ya sirini aliyofunuliwa suleimani huonyeshwa wachache 🧐🧐
 
Huyu mama wa kitamba cheupe kuna bar kafungua huko mbagala ni balaa kuna nyomi balaa..

Siku ya kwanza kuifungua kuna watu watatu walifia pale pale na kuna askaria aligogwa na gari na kufariki hapo hapo..

Hapa kitambaa cheupe mbagala hakuna weekend hamna mchana hamna usiku kuna jaza sijawah kuona
 
Yes.
Utajiri uko gizani.
Hata kwenye kitabu cha Isiya Mungu kathibitisha hilo
Na kama huna roho ngumu ya kufanya ushirikina biasha za chakula na vinywaji kama hizo achana nazo kabisa maana hutoboi,
Kuna muuza chips alionekana akitokea mochwari na dumu la maji
Sasa kwa biashara kubwa kama hiyo lazima jambo lipo
 
Principal za biashara za vitabuni huwa hazi apply kabisa - yashanikuta haya unayoyasema!!
 
Sehemu nyingi zinadoda kwa sababu wamiliki hawajui kuwa uzuri wa sehemu ni upya
Sasa unakuta baa au mgahawa au guest haijapakwa rangi miaka 10 na zaidi
Mbao zimechakaa vibaya
Unakuta hata glass ni zile zile hata uniform hajabadili miaka
Kwa hiyo chimbo jipya likianza wote wanakimbilia huko kwa usafi ila nalo likianza kupauka wanakimbia tena
 
Kitambaa cheupe anakitu cha zaidi ya hayo usemayo, lazima tu..
 
Umri ni namba tu mimi mzee wangu mpaka anafikisha miaka 70 bado anaenda bar kulewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…