fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
ni mziki,wanaeake na msosiYaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Hapo watu washasahau shida zote
Waganga wao wanalipwa per diemHakuna wateja wanafiki kama walevi. Ikifunguliwa sehemu mpya kali wanahama wote Kitambaa cheupe na kwenda huko. Sema kuna Bar ziko kama Kagera Sugar...yaani hazichukui ubingwa wala kushuka daraja kirahisi. Arusha kuna Jogoo house, Sakina bar, Kenny Garden, Parma, Sarafina, Arusha Night park, Mrina, Stanley, picnic, Wakulima nk... hizi tumezikuta na ziko hivyohivyo. Zinakuja Bar na kutoweka ila zenyewe zipo tu.
Jina lina special attention,kumbuka jina likiwa brand positive attention inongezekaYaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Picnic ya bwana Tony haina mfano ile sijui kwa sababu ya wale raia pale njee ndio maana haichuji,, pia anayo nyingine mkabala na mt meru hotel inaitwa Mount Point nayo ni ya moto SanaHakuna wateja wanafiki kama walevi. Ikifunguliwa sehemu mpya kali wanahama wote Kitambaa cheupe na kwenda huko. Sema kuna Bar ziko kama Kagera Sugar...yaani hazichukui ubingwa wala kushuka daraja kirahisi. Arusha kuna Jogoo house, Sakina bar, Kenny Garden, Parma, Sarafina, Arusha Night park, Mrina, Stanley, picnic, Wakulima nk... hizi tumezikuta na ziko hivyohivyo. Zinakuja Bar na kutoweka ila zenyewe zipo tu.
Mkuu matako bar pamechoka, wahudumu wanatia huruma, sura zimekosa nuru.. hakuna wateja kama zamani.Vipi matako baa nako kukoje sikuhizi.
#MaendeleoHayanaChama
Mimi nadhani wameset standard zao na kuwa consistent nazoPicnic ya bwana Tony haina mfano ile sijui kwa sababu ya wale raia pale njee ndio maana haichuji,, pia anayo nyingine mkabala na mt meru hotel inaitwa Mount Point nayo ni ya moto Sana
Aseee 🤣The Great inajaza kuanzia saa 6 usiku mpaka kule bondeni
Kitambaa saa 2 ishajaza
Kama una akili timamu bora ukaenda The Great kuliko kitambaa cheupe sababu mambo yaliyopo kitambaa cheupe hata the great yapo isipokua mashoga tu
Picnic ya bwana Tony haina mfano ile sijui kwa sababu ya wale raia pale njee ndio maana haichuji,, pia anayo nyingine mkabala na mt meru hotel inaitwa Mount Point nayo ni ya moto Sana
Kitambaa cheupe Sinza anazingua kitu kimoja. Wafanyakazi wanakaa miaka na miaka habadilishi, hadi wanazoea wateja, haifai. Mwaka mmoja unatosha.Naskia picnic na hiyo mt point ya oposite mt meru hotel anabadilisha wafanyakaz kutoa huku kupeleka kule so wateja wanakuwa hawajawazoea
Ni kweli anafanya sub ila kuna staff wa pale picnic ni vip hawahamishwi kabisaNaskia picnic na hiyo mt point ya oposite mt meru hotel anabadilisha wafanyakaz kutoa huku kupeleka kule so wateja wanakuwa hawajawazoea
Tena wanaotoka bijijini tarafani hikoNight clubs ni za watoto na wanachuo ambao hela zao za msimu
Du!!!!!,,,,,,,,kwa ivo harufu ya ushuzi nje nje!!mashoga wengi kuliko wanawake hapo