Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Huyo jesca mtoto wa king kiki sijui anatumia uchawi wa wapi? pale tabata majitu yanakosa nafasi yanakaa kwenye gari yanalilia wahudumu wawapelekee beer hukohuko wakati ukisogea the great pale hakuna wateja kabisa

nahisi back up kubwa yake ni mashoga ukweli ni kwamba siku hizi mashoga yana soko kubwa sana wadau wengi wanayafata
 
Jesy Kwani Kaanzia Hapo Leo, mbna kitambaa Ilkuwa kule na Watu wakawa wanajaa pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?

Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Upepo tu huo utapita
Bar mpya ndy zilivyo
Zinajaa Maana watu wanafuatana
Hakuna kipya Hapo
Wakishazoea watu watapachoka

Ova
 
Huyo jesca mtoto wa king kiki sijui anatumia uchawi wa wapi? pale tabata majitu yanakosa nafasi yanakaa kwenye gari yanalilia wahudumu wawapelekee beer hukohuko wakati ukisogea the great pale hakuna wateja kabisa

nahisi back up kubwa yake ni mashoga ukweli ni kwamba siku hizi mashoga yana soko kubwa sana wadau wengi wanayafata
BIASHARA YA POMBE NI BIASHARA YA URAFIKI HAITAKI MKONO WA BIRIKA PIA NI ADUI WA AKILI ZA KIMASIKINI /
Ipo bar fulani tabata nayo inajaza kweli mwenyebar huspend na marafiki almost laki 3-5/day of weekend ku archive sales ya million 3-5.
 
Back
Top Bottom