evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
night club za nini wakati mabar yanakesha na kupiga miziki kama night club, unaishi wapi wewe ?Hivi biashara ya night club ndio ilishakufa Dar es salaam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
night club za nini wakati mabar yanakesha na kupiga miziki kama night club, unaishi wapi wewe ?Hivi biashara ya night club ndio ilishakufa Dar es salaam?
(Explore guest) wafuata upya huwa 50%,kipi cha ajabu kipo 30%,20% hufuata mkumbo baadhi ni chawa / ili exist sana hutegemea watu gani mastaa hufika na mabinti visu wanaobadilishwa kila wakati.Hii husababishwa na nini..tupe uzoefu wako.
#MaendeleoHayanaChama
Kitambaa cheupe kwa wahuni 😎 atleast Small planetHyo Cha mtoto nenda Kitambaa Waiti Ya Tabata(Zamani maeda bar) utafurahi na Roho Yako.
.
Mmiliki anaitwa Jane Kikumbi, Mkinga Mmoja pisi Kali mnoo Ila bahati Mbaya amefunga Ndoa Mwaka Jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Small planet ndo ina bamba kwa Tabata bimaSiwezi itaja ila ipo hapo bima na bima zipi bar 4 mojawapo.
Calabash kuna muhudum alikua anaitwa Angel hatar sanaCalabash haipo kabisa pale siku hizi imehamia msasani
🤣🤣🤣 The great hua nafata msosi tu kitambaa sijawahi kupaelewaThe Great inajaza kuanzia saa 6 usiku mpaka kule bondeni
Kitambaa saa 2 ishajaza
Kama una akili timamu bora ukaenda The Great kuliko kitambaa cheupe sababu mambo yaliyopo kitambaa cheupe hata the great yapo isipokua mashoga tu
Huyo jesca mtoto wa king kiki sijui anatumia uchawi wa wapi? pale tabata majitu yanakosa nafasi yanakaa kwenye gari yanalilia wahudumu wawapelekee beer hukohuko wakati ukisogea the great pale hakuna wateja kabisa
nahisi back up kubwa yake ni mashoga ukweli ni kwamba siku hizi mashoga yana soko kubwa sana wadau wengi wanayafata
ndio kilichoshamiri kwenye hizo biashara mkuu.Uchawi ni kitu kimoja kikatili sana
Ndo wapi hapoNenda PicNic leo mda huu ni Jumatatu saa Tano ,ndio utajua kuna watu wanafunga Hesabu haswa
Full kurogwa, ukikaa nchale , ukisimama nchalendio kilichoshamiri kwenye hizo biashara mkuu.
Yaani wanywaji wengine wanashida sana,
unakuta mnywaji huyo huyo nyumbani mke anamroga kwa limbwata, labda ana nyumba ndogo nayo inampa limbwata, kwenye kazi au biashara zake wapinzani wake wanamloga , halafu kama ni mnywaji kwenye mabar wanamroga avutike kwenda kunywa kwenye bar yake,
Kwahiyo mnataka kutuambia siri ya mafanikio ni ku-deploy mashoga wa kutosha site?!
Lipia Tangazo!!Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Ipo bima sehem gani au ndo Ile opposite na 40 40Small planet ndo ina bamba kwa Tabata bima
Kule Tabata kuna zile Castle lite 7 kwa 10k tuKitambaa ya sinza bia si 1,500/=?
ndio manake mkuu full kulogwa,Full kurogwa, ukikaa nchale , ukisimama nchale
Ndio hapa?Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Palipo na wanywaji ndio kuna mademu na mademu wanaleta wanywaji wapya na hivyo hivyo mademu wanaongezekaHii husababishwa na nini..tupe uzoefu wako.
#MaendeleoHayanaChama