Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?

Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?

=========================
01/03/2023
Update: IMEFUNGWA
Tunatumia hela zetu acha Imani potofu. Kikianza kijiwe kipya tunahama wenyewe
 
Ufuska unafanyika sana

Wanaoishi maeneo hayo wamelalamika,mtu anamka aaubuhi anakutana na kondom mitaani,mitaa ile kwa kifupi imegeuka laana

We unafikiri jesca atakuwa anaakaa mitaa hiyo na familia yKe

Ova
Sasa Bar zikafunguliwe maporini pasipo na watu, hizo bia watakunywa nguruwe pori? 😄. , halafu hizi habari kwamba ni kwa sababu ya watu kulalamika wewe umezipata wapi?
 
Sasa Bar zikafunguliwe maporini pasipo na watu, hizo bia watakunywa nguruwe pori? [emoji1]. , halafu hizi habari kwamba ni kwa sababu ya watu kulalamika wewe umezipata wapi?
Kuna kigogo alienda pale saa kumi na moja alfajiri akakutana na malay
Wakamtukana hawakujuwa kama ni kigogo,ndy hayo yMetokeaaa akaifungiliaa mbali

Za chini chini zingine hizo

Ova
 
Back
Top Bottom