Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Ambao tulikimbia umande tunasema ni vita ya kiuchumiKwa maelezo haya ni fitina tupu basi wamefanyiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambao tulikimbia umande tunasema ni vita ya kiuchumiKwa maelezo haya ni fitina tupu basi wamefanyiwa
Duuh, hiyo ndio sababu ya kufungiwa?Pesa chafu zinasafishwa pale
Bado.. 😀Kwahiyo palifunguliwa jana au bado bila bila?
Tunatumia hela zetu acha Imani potofu. Kikianza kijiwe kipya tunahama wenyeweYaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
=========================
01/03/2023
Update: IMEFUNGWA
Vipi leo pamefunguliwa au bado pamefungwa?Tunatumia hela zetu acha Imani potofu. Kikianza kijiwe kipya tunahama wenyewe
Kumbe mdau Sana! Ndo napita hapa Naona tee;Bado.. 😀
Daah, bado 😂😂, hujauliza kwanini pamefungwa?Kumbe mdau Sana! Ndo napita hapa Naona tee;
Kuna mishe zozote?Kumbe mdau Sana! Ndo napita hapa Naona tee;
Kuna mishe zozoteKumbe mdau Sana! Ndo napita hapa Naona tee;
Tupe kijiwe kipya turuke mumuy😅Bado.. 😀
Cha wapi? Hapo sinza au😂😂Kuna mishe zozote
Tupe kijiwe kipya turuke mumuy😅
Anywhere 😅 Wewe tuCha wapi? Hapo sinza au😂😂
Kwahiyo haijulikani lini panafunguliwa?Anywhere 😅 Wewe tu
Mie tuu au wewe tuu unaetaka kuruka😂😂😂Anywhere 😅 Wewe tu
Ufuska unafanyika sanaKwahiyo haijulikani lini panafunguliwa?
Sasa Bar zikafunguliwe maporini pasipo na watu, hizo bia watakunywa nguruwe pori? 😄. , halafu hizi habari kwamba ni kwa sababu ya watu kulalamika wewe umezipata wapi?Ufuska unafanyika sana
Wanaoishi maeneo hayo wamelalamika,mtu anamka aaubuhi anakutana na kondom mitaani,mitaa ile kwa kifupi imegeuka laana
We unafikiri jesca atakuwa anaakaa mitaa hiyo na familia yKe
Ova
Kuna kigogo alienda pale saa kumi na moja alfajiri akakutana na malaySasa Bar zikafunguliwe maporini pasipo na watu, hizo bia watakunywa nguruwe pori? [emoji1]. , halafu hizi habari kwamba ni kwa sababu ya watu kulalamika wewe umezipata wapi?
Kuwe na ustarabu basiSasa Bar zikafunguliwe maporini pasipo na watu, hizo bia watakunywa nguruwe pori? [emoji1]. , halafu hizi habari kwamba ni kwa sababu ya watu kulalamika wewe umezipata wapi?