Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?

Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?

=========================
01/03/2023
Update: IMEFUNGWA

======================
Tetesi: Kitambaa cheupe Sinza kuhamishiwa London Lounge External ( Karibu na TMDA) , 1st floor ni Lounge, na 2nd floor Summit bar.
Mganga mpya.
 
Dah huyu mwenye kitambaa cheupe Ana moto,,Kuna bar moja ilikua Ina trend sana maeneo ya buza na yombo, tandika na maeneo ya karibu ikiitwa SAVOY,,,KITAMBAA CHEUPE keshamvua huyo jamaa eneo na kujisimika na ameshika kinyama... Ila Kama umechunguza bar zake zote huwa zinajaza sana sisi watoto wa uswazi coz ndio Bata tunaloweza afford... Watu tofauti na wa uswazi Mara nyingi huja kufata chura tope wetu ambao huwa ni wengi Kama wameshushwa na ule msafara wa back to Africa movement au vinginevyo wengine hupenda tu lile vibe la waswahili.
 
Savoi ya buza naijua ..

Tangu lini savoi imeuzwa na kuitwa kitambaa cheupe ?
 
Back
Top Bottom