Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Logically pale sinza ni padogo ,ata 1 floor haijawa organizedTetesi: Kitambaa cheupe Sinza kuhamishiwa London Lounge External, 1st floor ni Lounge, na 2nd floor Summit bar.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Logically pale sinza ni padogo ,ata 1 floor haijawa organizedTetesi: Kitambaa cheupe Sinza kuhamishiwa London Lounge External, 1st floor ni Lounge, na 2nd floor Summit bar.
Wacha tuone juu ya hili.., burudani ni muhimu kwa afya ya akili ya binadamu, Kitambaa was the bestLogically pale sinza ni padogo ,ata 1 floor haijawa organized
Yah ndo Mana wakahamishia ukoWacha tuone juu ya hili.., burudani ni muhimu kwa afya ya akili ya binadamu, Kitambaa was the best
BMAX pale moriKuna mishe zozote
Tupe kijiwe kipya turuke mumuy😅
Tetesi: Kitambaa cheupe Sinza kuhamishiwa London Lounge External, 1st floor ni Lounge, na 2nd floor Summit bar.
Mganga mpya.Yaani hii sehemu si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
=========================
01/03/2023
Update: IMEFUNGWA
======================
Tetesi: Kitambaa cheupe Sinza kuhamishiwa London Lounge External ( Karibu na TMDA) , 1st floor ni Lounge, na 2nd floor Summit bar.
Dah huyu mwenye kitambaa cheupe Ana moto,,Kuna bar moja ilikua Ina trend sana maeneo ya buza na yombo, tandika na maeneo ya karibu ikiitwa SAVOY,,,KITAMBAA CHEUPE keshamvua huyo jamaa eneo na kujisimika na ameshika kinyama... Ila Kama umechunguza bar zake zote huwa zinajaza sana sisi watoto wa uswazi coz ndio Bata tunaloweza afford... Watu tofauti na wa uswazi Mara nyingi huja kufata chura tope wetu ambao huwa ni wengi Kama wameshushwa na ule msafara wa back to Africa movement au vinginevyo wengine hupenda tu lile vibe la waswahili.
Nilkikua nna mda sijafika majuzi Kati nimeenda kuwapiga Wana hi nikaambiwa Savoy kwa Sasa ni kitambaa cheupe sio Savoy tenaSavoi ya buza naijua ..
Tangu lini savoi imeuzwa na kuitwa kitambaa cheupe ?
Amnaa bhana.. Mambo ni moto badae hapo # we are sinza wadau mfanye kuwaiii😂😂🔥🔥🔥Tetesi: Kitambaa cheupe Sinza kuhamishiwa London Lounge External, 1st floor ni Lounge, na 2nd floor Summit bar.
Mbona wengine hawafanikiwi na Wana rundo la wagangaMganga mpya.
Haijaamishwa mzee.. 😂😂Yah ndo Mana wakahamishia uko
😂😂😂Calabash mbona ipo mzee sema imehamishiwa mikochen kule...Dah,mmenikumbusha kiwanja changu cha Calabash,..kweli mmiliki wa Calabash,ulishindwa kumuongezea huyo mama hela ya kodi?..hakika ulitutendea UKATILI mkubwa..
Kama hujanielewa mkuu basi we subiri chanzo.. Waquba washanielewa mbona.. 😂😂😂✌Toa taarifa rasmi yenye uhakika ili watu wajue, leo inafunguliwa kwa taarifa toka chanzo kipi? Au na wewe umesikia tu?
nilikariri nyimbo za zamani sababu ya calabashDah,mmenikumbusha kiwanja changu cha Calabash,..kweli mmiliki wa Calabash,ulishindwa kumuongezea huyo mama hela ya kodi?..hakika ulitutendea UKATILI mkubwa..
KaribuPicha ya hiyo sehemu tafadhali
Nasikia hata kule amefunga..kweli mtu wa Sinza,Changanyikeni,UDSM,Makongo Juu,Goba,Ubungo upeleke kule Msasani kwa Nyerere?..the guy was not serious![emoji23][emoji23][emoji23]Calabash mbona ipo mzee sema imehamishiwa mikochen kule...
Yelewiii sikujua Dahan nawe mtu wa viwanjaaa mcharukoHaijaamishwa mzee.. 😂😂
Badae full kukanyagana leo🔥🔥