FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #441
Nasikia pamefungwa tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaotoa Rushwa hawajafungiwa, chunguzaHahaha itakuwa makelele yao
Ova
Kwa hiyo Siri Ni Nini?Ngoja nikupe siri ndugu.
Usifungue biashara sehemu eti kwakuwa umeona jirani amelemewa na wingi wa wateja. You will suffer consequences.
Unaweka kuuza bidhaa sh.elfu 2000 kama mbinu ya kuvutia wateja na wasikuone wakaendelea kwenda kununua kwa jirani yako anayeiuza sh.elfu 5.
Unaweza kuwa na lugha laini na nzuri na wateja wasije kwako wakaenda kwa jirani yako ambaye huwakaripia wateja daily.
hahahahaha
Mbona hakuna siri uliyotoa hapa sasaNgoja nikupe siri ndugu.
Usifungue biashara sehemu eti kwakuwa umeona jirani amelemewa na wingi wa wateja. You will suffer consequences.
Unaweka kuuza bidhaa sh.elfu 2000 kama mbinu ya kuvutia wateja na wasikuone wakaendelea kwenda kununua kwa jirani yako anayeiuza sh.elfu 5.
Unaweza kuwa na lugha laini na nzuri na wateja wasije kwako wakaenda kwa jirani yako ambaye huwakaripia wateja daily.
nasikia wanakafara la kuchinja kunguru na damu yake wanamwagia kwenye misupu ndo manake watu wanajaa kama kunguru wanafunga ndoa!!!..yaani wa2 wamegeuzwa kunguru!!Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?