Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Siyo kichekesho, acha kuidogosha Taasisi ya Urais. Tofauti ya siku kati ya ajali na yeye kuteuliwa ni ndogo sana.

Uteuzi ni mchakato ambao ulianza few days/ weeks ago. Sioni kama hii ni discrepancy ya kujadili.

Tumuombee tu marehemu Milton Lupa apumzike kwa amani
 
Tusimpangie wa kumteua Kwani katiba inasema je?😂😂😂😂😂😂
 
Nionavyo,

Wa kuombewa ni kiongozi wetu aliyemteua na Si marehemu mteuliwa!!

Anyway, Eti ni Kweli Mkopo wa Korea umebadilishwa na Migodi na bahari yetu?
 
BRaza tujifunze kuukubali ukwel. Kuna aina ya makosa hatuyatarajii kuona yakifanywa katika ngaz flan. Yakifanyika na wengine sawa, lakin si katika ngaz hii ambayo inam describe vibaya mpaka mkuu wa nchi
 
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi

How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?View attachment 3010470
Tukisema kuwa huko jumba jeupe umakini ni bidhaa adimu tunaitwa wachochezi haya jioneeni wenyewe
 
Hilo nalo mkalitizame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…