Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

Kama tatzo ni mwanamke kwanini mpaka mfike kote huko si bora kubwagana bila hata posa?
kwahiyo madhaifu yakionekana baada ya posa waoe hivyo hivyo, umekwenda kutoa poa huko unagundua mwanamke kumbe anamtoto na amekudanganya hajazaa, unafanyaje hapo ?! Hebu acha upimbi fungua thread nyingine tujadili maswala ya msingi.

kama umetolewa posa na imegundulika marinda yamelegea tulia hakuna ndoa hapo.
 
Hapo mwenye kosa ni binti mwenyewe.
 
Mambo ni matatu mkuu..
Ukinpotezea wakatii Mimi nlikua serious nakuomba msamaha nakuja kwenu kutoa posa nakukula nakimbia kwani posa ni shingapi...!!

Hi I viumbe vikigundua unavipenda vinabadilika haraka sana...
Samehe mkuu mpe heshima bint wa wawatu
 
Duh! Hii ni hatari sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…