Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

Hapana kwakweli staoa kwasabu najua ndoa haitafika mbali tutaachana
 
Asante sana kwa kutujenga
 
Punguza jaziba Basi..kwani kuoa mke mwenye mtoto ni dhambi mbona nyny mnaoa huku mnawatoto kibao
 
Mkoo hapo wewe una elimu gani.... ukirudi nyumbani story zinaendana?
Mie nina degree nyingi kama za yule mzee alietaka usupika pale katikati ya nchi ila kwenye ndoa ukileta elimu inakwama ndoa ni mchanganyiko wa akili kidogo na ujinga mwingi hapo mtazeeka vizuri sana, ila ukitaka usomi kwenye ndoa na madigree yako mtaishia kupostiana kwa maneno matamu ila ukweli ulio ndani ni kaa la moto
 
Hao mahari laki 7 kaka ila nyumbani ni story za mizengwe tu.... ikitokea umeanguka bahati mbaya si wanao wamepotea
 
Asante πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘Kuna wadada hawalogi ila akifunga tatu kavu umeishaaa
Bora useme tu kwamba tumeshindwana kwa sababu kadhaa lakini kuondoka kimya tu na kwenda kuoa kwingine na hujamalizana na mwingine ni kujitafutia matatizo makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…