Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani, kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a huma siyo kiakili wala nguvu tu za kufanya mambo
Nawale mapepo zake ambao wapo wenye nguvu hata kumzidi sasa hapo utawala unakuwaje?
Baasi huko tumefikiria mbali hata simba au tembo tunaowatawala wanatuua sometimes, why isiwe kama mfalme akutanapo na anayemtawala iwe anamjua hamjui lazima anyenyekeee chini.