Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
OhNasikia na Alien wanakuja mwaka huu 2023 (kwa mujibu wa watabiri wa karne na karne zilizopita). Watakuja kutufuga na kututesa kama tunavyofuga ng'ombe/punda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OhNasikia na Alien wanakuja mwaka huu 2023 (kwa mujibu wa watabiri wa karne na karne zilizopita). Watakuja kutufuga na kututesa kama tunavyofuga ng'ombe/punda.
maswala ya kiimani hayajawahi kueleweka kwa urahisi hata kidogo ukiyawaza katika hali ya kimwili unaweza jikuta umetafunwa porini kana.Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani
Kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a human
Sio kiakili wala nguvu tu za kufanya mambo
Nawale mapepo zake ambao wapo wenye nguvu hata kumzidi sasa hapo utawala unakuwaje?
Baasi huko tumefikiria mbali hata simba au tembo tunaowatawala wanatuuwa sometimes why isiwe kama mfalme akutanapo na anayemtawala iwe anamjua hamjui lzm anyenyekeee chini
Hakika tutamfanya kitu mbaya sanaMe pia huyu Ibilisi ambaye ni evel(mwovu)+muongo+ fukara+maskini+mshamba+ugly creature nina hasira naye pia natamani kuna adhabu na mateso inatakiwa nimpe kabla ile adhabu ya Mungu aliyomuandikia baada maisha ya hapa umwenguni.Hichi kiumbe kwa mujibu wa vitabu vya dini hana future baadaye ila kuna mazwa mazwa yanamfuata.
Itakuwa vigumu kukuelewesha kama huamini uwepo wa Mungu.Dhambi ni nini?
Hizi ni theories uchwara za kanisa. Hakuna kitu kama DHAMBI.
Haaakuwa na njaa hao simba weweUkichukulia kimwili utachemka,,,waza kiimani zaidi,,jiulize pia kwanini danieli hakuweza kudhuriwa na wale simba ndani ya lile shimo???
Kutafunwaaamaswala ya kiimani hayajawahi kueleweka kwa urahisi hata kidogo ukiyawaza katika hali ya kimwili unaweza jikuta umetafunwa porini kana.
😂😂😂 Wana JF salur et hawakuwa na njaaaHaaakuwa na njaa hao simba wewe
Mungo yupo, lakini DHAMBI zimeundwa na kanisa.Itakuwa vigumu kukuelewesha kama huamini uwepo wa Mungu.
Mkuu umenikorogaUnazungumzia dhana ya utawala wa kutumia nguvu (physical power). Kwa hili hata mtoto wako atakushinda nguvu.
Nguvu ya akili (mental power) ina thamani ya juu katika utendaji kuliko nguvu ya kimwili. Na hapo ndipo Kuna utawala wa mwanadamu kwa wanyama.
Risasi moja au sumu ya mia tano inaweza zima nguvu za kimwili za Simba ndani ya sekunde chache.
achana na stori za mifano ya kiimani ukaenda kufanya practical utapotea kwa uso wa dunia mapema sanaKutafunwaaa
Hapana dhambi Mungu mwenyewe ndio ameisemaMungo yupo, lakini DHAMBI zimeundwa na kanisa.
Mh sawaachana na stori za mifano ya kiimani ukaenda kufanya practical utapotea kwa uso wa dunia mapema sana
Mh sawa
Ulikuwepo akisema au na ww ubongo wako umeishia kwenye quraan na bibiliaHapana dhambi Mungu mwenyewe ndio ameisema
Mkuu kwenye mnyazi mungu sipo ila kwa bible naisadiki 100% japo sifuati mafundisho kwa sababu zangu binafsi za kukengeukaUlikuwepo akisema au na ww ubongo wako umeishia kwenye quraan na bibilia
Acha kufungwa ubongo izi dini tumeletewa Africa ivi vitu atukuwai kuwa navyo kabla. Ndio maana wao tu wenyewe uko wanapishana we tufate mkumbo wa wazazi kukwepa laana ila dini saivi ni mchongo kaka amini kwamba.Mkuu kwenye mnyazi mungu sipo ila kwa bible naisadiki 100% japo sifuati mafundisho kwa sababu zangu binafsi za kukengeuka
Maandiko yenyewe yanakinzana sasa apo tuelewe kipi. Uku kula nguruwe uku usile. Uku lewa uku usilewe yaan ni kutuchanganya tu bila sababuMkuu kwenye mnyazi mungu sipo ila kwa bible naisadiki 100% japo sifuati mafundisho kwa sababu zangu binafsi za kukengeuka
We amini Mungu na utakatifu najua dhambi hufundishwi bali wewe tu mwenyewe unajua kuwa unatenda bayaMaandiko yenyewe yanakinzana sasa apo tuelewe kipi. Uku kula nguruwe uku usile. Uku lewa uku usilewe yaan ni kutuchanganya tu bila sababu
Very wrong,,,i'm worried kama utakuwa unasoma maandiko sawasawa na kuyaelewa.Mungo yupo, lakini DHAMBI zimeundwa na kanisa.
Ukiuwawa na simba au mbwa ni uzembe wako wewe binadamu mwenye akili na maarifa kuliko hao hayawani.Ni wazo tu nimepata kwamba mwanadamu ambaye inasadikika kutoka kwenye maandiko kwamba alipewa ukuu na umiliki juu ya vyote vilivyopo duniani
Kipindi anapewa huo umiliki kulikuwapo na shetani ambaye kwa logic tu ya kawaida yuko most powerful 1000000000% than a human
Sio kiakili wala nguvu tu za kufanya mambo
Nawale mapepo zake ambao wapo wenye nguvu hata kumzidi sasa hapo utawala unakuwaje?
Baasi huko tumefikiria mbali hata simba au tembo tunaowatawala wanatuuwa sometimes why isiwe kama mfalme akutanapo na anayemtawala iwe anamjua hamjui lzm anyenyekeee chini