Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Basi fanya test wewe kwenda kujipitisha mbele za simba mikumiUkichukulia kimwili utachemka,,,waza kiimani zaidi,,jiulize pia kwanini danieli hakuweza kudhuriwa na wale simba ndani ya lile shimo???
I think hujaelewa concept yangu ni ipi?Basi fanya test wewe kwenda kujipitisha mbele za simba mikumi
Yaani ulitaka kusema Mungu alimlindai think hujaelewa concept yangu ni ipi?
In short ni kuwa huwezi kuwa mtawala hata wa sisimizi ingali unatenda dhambi.Basi fanya test wewe kwenda kujipitisha mbele za simba mikumi
Sikweli hapanaSimba mwenyewe anamuogopa binadam ndo maana haji kuishi kwenye makazi ya watu, ila ukitaka kujua binadam ni kisanga watu waruhusiwe had kuishi kwenye hifadhi za wanyama kesho tu utaona watu wamejaa na wanyama watatoka nduki
Kwaiyo mkuu ni kwamba we Must use name ili kutawala?Mkuu kuna kitu kimoja haukijui na wengi hatukijui...
Maisha tunayoishi yanatuondolea nguvu alizotupa Yesu Kristo, pia wengi wetu hatujui uwezo uliopo ndani yetu.
kwenye Mathayo 17 20-21 kuna sehemu anasema tukiwa na imani kama punje ya haradali tunaweza kuhamisha milima
Binadamu tunanguvu sana tena sana dhidi ya shetani, mawakala wa shetani na hata wanyama wakali. Sema tunakosa kitu kidogo tu Imani
Ndio maana ukiona kitu cha kutiaha unakosa imani unakimbia, au ukimuona Simba unakimbia, lakini tunanguvu ndani yetu ambayo inaweza kumzuia Simba asifanye chochote ....
Ni ngumu sana kuweka nguvu hiyo pamoja na kuitumia...mbona wachawi wanadawa za kutumia zikafanya wasidhurike na wanyama wakali mfano huyo Simba Je jina la Yesu na imani juu yake hauwezi kumkimbiza Simba?
Je kuna watu nyakati hizi ni wasafi bila uwovu hata mmojaIn short ni kuwa huwezi kuwa mtawala hata wa sisimizi ingali unatenda dhambi.
π Nataka nikazichape na ibilisiKwann? Unataka ukapambane na simba?
HakikaNina shuhuda fulani, ni vile tu watu huwa wanahisi hao Simba ni hatari mbele za Mungu
Pia tusipende kuona vingi, kuna vitu Mungu anatuepusha navyo bila sisi kuona ni vya hatari na kutisha.
Mkuu weka ushuhuda maana ndipo pa kujifunza zaidiNina shuhuda fulani, ni vile tu watu huwa wanahisi hao Simba ni hatari mbele za Mungu
Pia tusipende kuona vingi, kuna vitu Mungu anatuepusha navyo bila sisi kuona ni vya hatari na kutisha.
Huyo mbona wote tumempania mkuuπ Nataka nikazichape na ibilisi
mkuu wapo, maana hatuwezi jihesabia haki, lakini kuna watu wanaishi katika utakatifu ni ngumu lakini wapo....na kingine ni kuishi katika toba maana ndiko kunapopatikana chemchem za uzima...Je kuna watu nyakati hizi ni wasafi bila uwovu hata mmoja
πHuyo mbona wote tumempania mkuu
Kwaiyo manataka kusema we have power ya kufanya miujiza ila hatuna Imanikutumia na kuliishi mkuu.... binadamu hivi tunanguvu sana ndani yetu...sema Imani ndogo sana au hamna kabisa.