mkuu poa mbona nilishia jikataaa kitambo though bado anapiga simu sana nashukuru kwa ushauriiDah! Mkuu una umri gani? Uliona wapi nguchiro akashinda na kenge?
Hao wote kundi moja ila anakuweka kwenye target ili ujae na akuchukue sawasawa.. Kuwa makini
mkuu poa mbona nilishia jikataaa kitambo though bado anapiga simu sana nashukuru kwa ushaurii
Anyway nilikuwa nakutahadharisha juu ya watu Wa namna hyo...hizi ni the other side of story nimeeleza yanayotokeaga tuu kama kutoa uzoefu upaleni natokaje kwa mfano kaka
siBaba mjini hapo, hao wanawake wako kikazi mangi! Ukiona kavaa kishankupe na vikuku miguuni ujue soon utaliwa, anakuweka sawa tu. Ni mdaganji huyo!!!
poa mkuu nimemkataa kiaina halafu am not used kwa wanamke localAnyway nilikuwa nakutahadharisha juu ya watu Wa namna hyo...
Kama unafikir kukupgia simu ndio kupenda basi endelea kufuarahia unavyopendwa.
halafu ni mtu wa zanzibar anna accent ya kizenji hatarii ukiwa kolo mnapotezwa mabahariaaKwa Magomeni mambo ya kawaida sana hayo, mume anadanga kusini, mke anadanga kaskazini... asubuhi wanakutana kwa mahesabu kisha wanalala.
cultural gal unaonekana unajua vizurii sana eehKwa Magomeni mambo ya kawaida sana hayo, mume anadanga kusini, mke anadanga kaskazini... asubuhi wanakutana kwa mahesabu kisha wanalala.
nilistukia hili kitambo yaani kapagawa na sound ya ride na zile bata kadhaa nilizompiga akawa ananiwekea mazingira ya kihivyo nilishia ligundua watu kibao wameshia pigwa kwa style hiyoo nashukuru kwa uzoefu wako pia kakaDah! Mkuu una umri gani? Uliona wapi nguchiro akashinda na kenge?
Hao wote kundi moja ila anakuweka kwenye target ili ujae na akuchukue sawasawa.. Kuwa makini
Me mtoto wa town nakosaje kujua ishu ndogo ndogo kama hizo? Magomeni, Ilala na K.koo wana maisha ya peke yao na huwezi kudhania.cultural gal unaonekana unajua vizurii sana eeh
Babe nakusalimiaMe mtoto wa town nakosaje kujua ishu ndogo ndogo kama hizo? Magomeni, Ilala na K.koo wana maisha ya peke yao na huwezi kudhania.
Salamu nimeipokea babe,Babe nakusalimia
Mimi mzima wa afya. I missed you nimefurahi kukuonaSalamu nimeipokea babe,
Mzima weye?
Sasa ukitaka mkeo awe kawaida, basi ridhika naye hivo hivo, usiwatamani wake wa wenzako waliopendezeshwa[emoji3]Ukimpendezesha mabaharia wanam mezea umate mate kisha wanapanga
mashambulizi ya kujimegea kisela, bora awe kawaida tu...[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba nianze na wewe kama tution πππSasa ukitaka mkeo awe kawaida, basi ridhika naye hivo hivo, usiwatamani wake wa wenzako waliopendezeshwa[emoji3]
Afu acha uoga bana ,pendezesha wife
Siku hizi wake za watu wamekuwa wakichepuka kwa sana tofauti na zaman hivi shida ni nini
ukianza kufuma vitambaa utuambie maana ndo unakoelekeaNdio maana sikuhizi nimekuwa mnywaji mzuri wa kahawa. Tena nakunywa nyumbani.
Hapo ndyo penyewe tuma miamala nipendeze basii[emoji3]Naomba nianze na wewe kama tution [emoji38][emoji38][emoji38]
Hahaaa, kawaida tu mkuu,lisikutishe mi mwenyewe nahitaji mkopo [emoji12] [emoji3] [emoji3]mimi jina lako linaniacha oi wasije watu waka ku pm wakaomba mikopo lol