Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?