Ni nature mkuu wanawake wote kiasili wanaamini kwenye uchi wao , mwanamke ukimfanyia hisani au msaada wowote,kitu cha kwanza kinachomjia kichwani ni kukulipa uchi,Ukiona hivyo huo ni muuzaji, anaforce kukuuzia.
Atajifanya hana ya kukulipa na kukuuliza tunafanyaje sasa, kifuatacho ni kutafunwa.
Watatuona wote takataka humu ndani 🤣🤣🤣Huu uzi ufichwe kataa ndoa wasije wakauona
🙂
Yaani unamkaza mtu kisa 15k ?Hahahahaaaaaa,umenikumbusha nilimkopesha mother mmjo japo ananizudi miaka 3 TSH 15000/= ilipofika mda wa kurudisha chenga nyingi mara ntakuletea leo geto usiku alipofika tu ilikuwa saa nne usiku match kali sana ilipigwa ikawa kila siku napiga mzigo hadi mimi nilimchoka japo alikasirika dana kumtema
word.......Ni nature mkuu wanawake wote kiasili wanaamini kwenye uchi wao , mwanamke ukimfanyia hisani au msaada wowote,kitu cha kwanza kinachomjia kichwani ni kukulipa uchi,
Mwanamke uchi anauamini ila hauthamini.
Unajua kuna siku mke wa mtu amenikopa 20k ili kumtibia mwanawe anayeumwa , nimeshangaa sana ana mume na wako pamoja tena wamefunga ndoa miaka 2 nyuma.
Majibu ni mawili tu hapo kama nitakuwa nimeelewa vizuri maudhui ya mada hii:Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Hahahaha. Kumbe kuna watu hugoma kuzeeka? 😁😆😆🤣Huyo sio mother kwako ni dada. Mother ni yule aliyekuzidi miaka kuanzia 14 huko usigome kuzeeka mkuu.
Ni jamba, hapo utakuta kila mtu na lake?Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Urahisi unakuja pale anapodaiwa,angekuwa hadaiwi pengine laki ingekutoka,hebu fikiria mwanamke anakazwa Kwa kupewa lift ya dakika 20,Yaani unamkaza mtu kisa 15k ?
Sasa kama mtu aliyemzidi miaka mitatu anamuita mother si amegoma kuwa rika moja naye? 🤣🤣🤣Hahahaha. Kumbe kuna watu hugoma kuzeeka? 😁😆😆🤣
Mara nyingi wa namna hii wanakuwa washamkopa sana hata huyo mume kiasi kwamba inafika muda anamuonea huruma kuendelea kumuomba pesa na mbaya zaidi pesa zenyewe hazielewek anafanyia nini.Habari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Wazazi wa mke!!!! Vipi wazazi wa mme!!!Ndoa zinasiri nying kunawanaume hawahudumii wakezao Zaid ya chakula
Kuhusu mavazi,wazazi wa mke hata wakiumwa hamna kitu anafanya